Bosi anisaidia kibarua changu cha part time Jyväskylä, baada ya kusikia ni maombolezo na malipo yako pale pale

Nathan Jr

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
1,437
1,875
Baada ya bosi wangu kusikia tumepata msiba Mzito kasikitika sana na akajua ni maombolezo ndo basi akasema hiki kibarua chako cha jumamosi nakikufanyia lakin nakulipa kama kawaida,

Akauliza Hela za rambi rambi anapokea nani,? Nikasema nipe mimi ntaziwasilisha, hahaha

Nimemuelewa mnooo

FB_IMG_1537610500368.jpg
FB_IMG_1537610506534.jpg
FB_IMG_1537610504435.jpg
FB_IMG_1537610502471.jpg
 
Hizo rambi rambi nashangaa kwanini serikali haijafungua akaunti ya rambi rambi mpaka muda huu??
 
Mfano: huku Chumba cha kawaida ni 30,000 vp huko Chumba cha kawaida Mzee.
Hahaha umenichekesha ni ngumu kupata chumba chako, ni wachache sana wanabahatika ni ghali mnoo, hapa ni hostels za ku share ,pia kuna studios yaan chumba ambacho kwa bei ya chini ni 400 euros sawa na 900,000 kwa mwez
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom