Born town men/women vs bush stars men/women (whats your choice) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Born town men/women vs bush stars men/women (whats your choice)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by lara 1, Oct 24, 2012.

 1. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Wakubwa zangu shikamooni!!!

  My brothers and sisters from another mother ! Niajeeeeeeeeeeeee!


  Leo nimeleta mjadala wa kizushi tu, wewe mwenzangu wapenda nini kati ya Born towns na bush stars??

  Sifa za Born Town

  Wazee wa kula bata na kuweka heshima bar na kitaa. Full kupendeza, hata kumtambulisha mbele za watu si haba!, Usafiri wa haja, nyumba kupanga full contained, mnaishi sinza kwa wajanja no porini.

  Hawawazi kesho wala nini, ponda mali kufa kwaja, Mda wote wapo kuimpress peoples na kutafuta ujiko, life style ya kuweka heshima kitaa, demu wake lazima uwe classic mda wote sio nywele wiki mbili.

  Hawawazi matumizi kabisaaa,hawapendi stress , na wengi si waoaji hadi wagonge 40, Watu wa company sanaa na vikundi vikundi na ukifulia unatengwa ASP

  Watu wakutafuta furaha ilipo , hata wakioa vigingi kidogo ndoa chaliiii! Wanatafuta replacement. Yaani wako very interesting na kudumu nao ni survival of the fittest.


  Sifa za Bush stars
  Watu wa kubana matumizi na kufanya maendeleo, kutwaa wanajenga! Gari la kubana mafuta, Si watu wa mashauzi kabisaa mambo yao mdogo mdogo.

  Future yote wamejiandalia hadi 10 years zijazo wanajua watakula lini na watalala wapi. Ukiishi nao ni investing,investing and more investing.

  Anasa za chopping money marufuku! Mpango kuwasaidia ukoo wote kijijini

  Wavumilivu sanaaaaa! your future with them is reliable!

  Kuishi ni mbezi huko kwenye nyumba yenu, ndani ndani.

  No kuweka heshima mpango kutafuta maendeleo.
  Mie kutokana na itikadi zangu za ponda mali kufa kwaja my take ni BORN TOWN kwa sanaaaaaa! Tomorrow will take care of itsself!!! LOL! Utajuaje kama kesho utakuwepo?
   
 2. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama hizi sifa ulozozitaja zinaendana na nani kazaliwa wapi?..kuspend au kutospend ni hulka na uamuzi wa mtu tu!!
  Kuna watu wamezaliwa bush lakini ni spenders wa kutupwa alikadhalika wale mjini ambao ni savers wa kufa mtu!
  But all in all duniani kote 'maisha ni leo'...tumia pesa ikuzoee na the more you spend the more eager you become in chasing money..Haya mambo ya kusave ni kwa sababu ya maisha tunayoishi kuwa 'very uncertainty' tu....otherwise.......
   
 3. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  kakangu mimi wa kuniachia ziwa kwa mama yetu!nimekumisssijeeeeee!
  halafu hata hukunitumia salamu za wiki nzima kufidia zooote ambazo nimezikosa ah mi nimenuna!:eek:hwell:
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mimi napenda wa bush kwa ajili ya kuoa na born town kwa ajili ya matanuuuuuuz!!!!
   
 6. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nipo mdogo wangu...sema shule imenibana sana..nakuja kwa kubip..lol
  By the way wajomba zangu na huyu jamaa tuliyekukabidhi kwake akulee na kukutunza hawajambo???
   
 7. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Bush stars ndo wenyewe,, I see from my brother.. Kacheza na masista duu wa mjini wee muda wa kuoa huyo mke aliyemleta nyumba nzima midomo wazi..

  Ikabidi tumuite chemba kumuuliza bro vipi yaan na exposure zote hizo ndo umeamua utoke hivi,,, AKATUJIBU NDOA NI ZAIDI YA KULALA PAMOJA so masister du mda wao umeshapita.. Kufanya ka research to brothers friends na wadau wengine kwenye mkeee mmh wengi wanachagua bush stars aka watoto wa mkoa japokuwa kazi za nje ni wadada wa mjini

  So nikakubali kweli kwenye hilo nalo bush stars wanahusika sana kwenye spauses although still chasing Drama girls...
   
 8. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  Hapo poa!
  wajomba wako poa wengine wameenda shule wengine wamebaki home kuendelea kudeka basi raha tu
  huyu mliyenikabidhi kwake(sijui ndo wabush siujui born town)itabidi niende chemba na lara 1 anipe vigezo zaid)ila yuko pouwer anaendelea tu kunishower pacha wako kwa ma :mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::A S 11::A S 11::A S 11::A S 11: bila kujali kuwa mie wa bush wala kama ni born town!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Sisi japo wa nyumbi bombi (mbaba mbay) lakini mbona tunasumbua mjini bana pacha snowhite ???
  Mwambie lara 1 premise yake haiko valid....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #10
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,174
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  umeona enh full kukimbiza town hapa!
  kuanzia kulea mume/mke
  shule ndo kama kadawia
  malezi hapa ndo mwake
  ujanja mjini mule mule
  kuvaa ndo daha kama pacha wangu hapo kwenye avatar yake
  uchumi ndo mule mule full ujasiriamali
  kuspend ndo weh!maswala ya kujifungia maeneo yanye mwanga hafifu siku tau mfululizo wala sio tatizo
  basi mradi raha tu waujua huu waujua ule!
  halula!
   
 11. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,167
  Likes Received: 966
  Trophy Points: 280
  Snowhite umetisha watoto wa mjini tunakimbizwa sana na wa bush, sema advantage kubwa iliyopo ni nyumba za ulithi na nafasi za wazaz na network town... Ukitoa hilo kushney ( msinipige mawe mimi mwenyewe downtown but bush stars nawakubali wanatisha kwenye malengo na mipango)......
   
 12. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  We mbaaaaaaaaaayaa! Nimekukubali! Sasa unajigawaje kupenda watu wawili wasioendana? Mimi Bush stars napenda nione amemuoa rafiki yangu wanaongeza viwanja tu! Ila mie hapanaaaa!
   
 13. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Mkata kiu umeonaaa eeeeh! Bush wanakimbiza kwenye kuzisaka sema kuspend ni bahili sanaaaaaaa! Ukizingatia mapenzi yenyewe ya kichina siku hizi NIJIKUTE TU NAIVEST NA BF!!!!!!!! THUBUTUUUUUU! WAJIBANA WEE SIKU UKIACHWA WAJA KULA WENZIO KIULAINIIIIII! Bora nikae mguu nje mguu ndani.
   
 14. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  kitu born town bana nani ana muda wa kumfundisha mtu mzima jinsi za kuoga! lol
   
 15. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Snowball wewe umingia chaka kwenye kujibu swali, umeweka assumption ambayo haipo. Kuwa born town au bush star haijalishi umezaliwa wapi au umekulia wapi ni ITIKADI ZAKO TU ZA KIMAISHA NA MWENYEWE UNAVOJICHUKULIA NA KUJIWEKA. Unaweza kuwa umezaliwa kigogo mburahati, ila unafuata itikadi za kicommunist zaidi sasa watu tutakuona wa kuja tu kumbe born here here, na unaweza kuwa umetokea Kamachumu huko Ngara sijui karagwe kwa kina nshomile ila ukaja town ukajibadili sanaa na kuamua kufanya mambo kimujinimujini kama Muzamili, hapo ushakuwa bon here here.

  Kikubwa nachosemea ubush na born town wa kiitikadi mtu anazochagua kufata either communist au capitalist.
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,865
  Likes Received: 6,216
  Trophy Points: 280
  point of correction madame lara 1, sio kila bush stars analea ukoo, si kila bush stars hatoki kuspend, sema anaspend kwa akili maana hana mashauzi.....

  By the way, bush stars forever, nani anataka stress za born town? Mie mwenyewe born town, mume awe born town hiyo nyumba itajengeka kweli? Si itakua ch*pi mkononi, ngumi shavuni?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,121
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaaaaa! PICHU MKONONI!!!!!!!! Hapo mkizaa vitoto CHOTARA wa town na bush! lol! Ndo inavokuwaga, wa town anapenda wa bush, na wa bush anataka wa town!!!! Wachache sana tunapenda PURE BREED!!!!!!!!!!!!!!
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280

  kwa hiyo mimi ni wa bush?
  duh nilikuwa sijijui kwa kweli...
   
 19. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,978
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mie napenda maborn ulaya...kwabza lugha haipigi chenga...free apirited hawana ufala wakibongo bongo...independent thinkers...na they live life not to impress but to enjoy to the fullest
   
 20. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,865
  Likes Received: 6,216
  Trophy Points: 280
  shosti lara 1 nakupa hongera....
  Kuwa na born town kwataka moyo.....
  Kwangu mie mwanaume born town ni wa kula nae good time, kusafisha macho na kusepa, si pakuwekeza hisia unless una moyo wa chuma...... Maisha nawekeza na bush stars....maisha magupi, stress za nini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...