Boris hatagombea uongozi wa chama chake Conservative na u-PM

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,215
7,906
Ex-London mayor Boris Johnson has ruled himself out of the race to be the next Conservative leader and prime minister.
In a speech in London - billed as his campaign launch - Mr Johnson said he did not believe he could provide the leadership or unity needed.
It comes after Justice Secretary and fellow Brexit campaigner Michael Gove's surprise announcement on Thursday morning that he would run for leader.
Home Secretary Theresa May is among the candidates. Nominations shut at noon.

my take: ccm jifunzeni kwa Boris, sio mtu kujulikana kidogo tu kwenye siasa unataka uwe kiongozi mwisho wa siku watu 42 wanachukua form ya urais
 
Mugabe again..

Fantastically stupid is when an idiot cynically calls for an unnecessary referendum in furtherance of his personal ambition and not only loses the vote, but ends up disuniting the country, partially unbundling the European Union, making the world's financial markets lose $2 trillion in a few hours, and losing his job!

What do I know...I was here when he came to office; I am still here as he shamefully leaves office."

President Robert Mugabe, 24 June,2016.

—really?
 
Huyu nae tushamchoka na maneno yake kama ya kwenye khanga. Nchi yake inamshinda yeye kutwa kufuatilia na kuongelea mambo ya wengine,ageuze hayo maneno yake yawe vitendo ya kufufua uchumi na hali za maisha ya Wananchi wake.
 
Jamani Watanzania tujiuongeze kidogo. Hizi post za Mugabe ni fake.
 
Huyu nae tushamchoka na maneno yake kama ya kwenye khanga. Nchi yake inamshinda yeye kutwa kufuatilia na kuongelea mambo ya wengine,ageuze hayo maneno yake yawe vitendo ya kufufua uchumi na hali za maisha ya Wananchi wake.
Joke is on u, people are just being sarcastic, everybody knows Mugabe hajawahi kusema hayo ila umetokwa povu balaa
 
Ila ni mpuuzi,analiweka taifa katika wakati mgumu sana,anakuwa wakwanza kukimbia majukumu,hata euro,ikumbukwe huyu ndio kinara wa #BREXIT

Ni kweli mkuu hata yule kiongozi WA Chama cha UKIP Nigel Farage who was campaigning for BREXIT sasa hivi haonekani.Haonekani tena kwenye public kutokana na economic loss wanayoipata UK.
 
Racism has been unleashed from the hearts of brits amid brexit."Go back home paki"
 
Theresa May ana support kubwa sana ndani ya top echelon ya chama so was Boris Johnson.

Kuingia kwa Michael Gove unexpectedly kunaenda split votes zao katika awamu ya kwanza ambapo wabunge wanachagua top 2.

ukizingatia huyo huyo Gove ndiye mtu aliekuwa kama campaign manager wa Boris bid kama next PM mwenye jukumu la kufanya mobilization support ndani ya chama kwa wabunge. Keshamgeuka mwenzake kwa kusema hafai bado baada ya kufanya nae kazi kwa karibu kama leader wa Brexit anadai aoni Boris kama ni mtu mwenye qualities za kuwa PM.

Kwa upande wa conspirators ni kwamba UK wanatabia ya kuchagua viongozi kutokana na changamoto za nchi in normal circumstances whereby everything is plain sailing and the country is doing ritual politics Boris anaweza faa. Lakini nchi ipo kwenye crisis na wataalamu wengi walianza kum discredit way before the referendum vote ya kuwa sio mtu atakaeweza hiyo nafasi iwapo brexit vote wins. Yeye sio mpuuzi wa kujua kuna watu wanadhani hiki kipindi kinaitaji jasiri na mwenye msimamo mkali wa maslahi ya taifa and experienced wa kupambana na EU and he is not qualified.
 
Back
Top Bottom