mbweta
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 600
- 81
WanaJF naombeni mnisaidie kwa ili nabishana sana nadadazangu wao wanataka niwaletee mwanamke mzuri tabia sura yoyote, wakati mie naamini mwanamke sura tabia ntambadilisha mana naogopa kuna wanawake wengine tabia utapenda ila sura mhh balaa,naogopa kuwanyima watoto raha kama wakifwata sura hiyo ya mama yao mwenye tabia nzuri washindwe hata gombea Miss Beachkidimbwi!
Karibuni!!!!!!!!
Karibuni!!!!!!!!