Bora uzuri au tabia?

mbweta

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
600
81
WanaJF naombeni mnisaidie kwa ili nabishana sana nadadazangu wao wanataka niwaletee mwanamke mzuri tabia sura yoyote, wakati mie naamini mwanamke sura tabia ntambadilisha mana naogopa kuna wanawake wengine tabia utapenda ila sura mhh balaa,naogopa kuwanyima watoto raha kama wakifwata sura hiyo ya mama yao mwenye tabia nzuri washindwe hata gombea Miss Beachkidimbwi!

Karibuni!!!!!!!!
 
hahaaaaaaaaaaaa eti miss beachkidimbwi..hio kali.
nakubaliana na wewe sura ni muhimu zaidi..:teeth::embarrassed:
 
WanaJF naombeni mnisaidie kwa ili nabishana sana nadadazangu wao wanataka niwaletee mwanamke mzuri tabia sura yoyote, wakati mie naamini mwanamke sura tabia ntambadilisha mana naogopa kuna wanawake wengine tabia utapenda ila sura mhh balaa,naogopa kuwanyima watoto raha kama wakifwata sura hiyo ya mama yao mwenye tabia nzuri washindwe hata gombea Miss Beachkidimbwi!

Karibuni!!!!!!!!

Mkuu,

Waeleze hao madada kuwa una mpango wa watoto wako kuwa beauty & cat walk contestants, watakuelewa.
 
........ it depend.......... beuty+ tabia mbovu + kichwani hakuna
ugly + tabia nzuri + gr8 thinkers
 
Ndugu, wapo waliooa kwa kuangalia sura na hivi sasa wanajuta. Ndoa zao sasa ni kama jehanamu. Wanatamani wangeoa mwenye sura kama ng'ombe lakini mwenye tabia nzuri.

Sijawahi kumsikia mwanaume yeyote akilalamika mitaani kwamba hana raha na ndoa yake kwa kuwa mke wake ana sura isiyovutia. Lakini kuna lundo la migogoro ya ndoa kutokana na tabia zisizoridhisha. Take care!!
 
Dada zako waambie huyo hapo umempata, ana tabia nzuri sana.
 
Attachments

  • mchumba.jpg
    mchumba.jpg
    17.8 KB · Views: 94
Hakuna mtu mbaya ila kutokana na mawazo yetu ya kibinadamu ndio tunaanza kujiita huyu mzuri huyu mbaya .Mwenye tabia mabaya hafai hata kwa dawa.
 
Ndugu, wapo waliooa kwa kuangalia sura na hivi sasa wanajuta. Ndoa zao sasa ni kama jehanamu. Wanatamani wangeoa mwenye sura kama ng'ombe lakini mwenye tabia nzuri.

Sijawahi kumsikia mwanaume yeyote akilalamika mitaani kwamba hana raha na ndoa yake kwa kuwa mke wake ana sura isiyovutia. Lakini kuna lundo la migogoro ya ndoa kutokana na tabia zisizoridhisha. Take care!!

mmmmmhhh haya bwana...
 
you better have plain wife for yourself than beautiful wife for others...........hapa namnukuu fellow tablets ASPIRIN kwenye signecha lake la zamani. hili signecha ukiliangalia kwa undani linamake sense na nakubaliana nalo lakini sura mbovu bana inaweza ikaleta maghost ndani ya nyumba. nazani kama alivyosema afro mwana wa pekee wa mzee denzi hapo juu, uwezekano wa kupata mwenye sifa zote upo!
 
hahahhaahhah lol
duuhhh asante
avatar_2463.gif

nilisema hivyo kwa sababu nilmpataga lakini naona sasa yuko
usy anataka kuzindua album yake mpya na ana dance ka MJ lol
 
dah acha nilog out, nimeanza kuhisi giza la macho gafla, nazani waswahili wameanza kuniloga baada ya kuona niko na afrodenzi. waswahili bana!
 
hahhaahha lol
hamana shida kabisa yaani..
borea nikuache ukabusu mto sasa hahah lol
mmmhhhh na usijali kuhusu hao waswahili mi najua dawa yao.
hahahhaha lol
nite nite and sweet dreams..... mwahh
 
Hiyo sura baada ya miaka 10 itachuja utamuona kibibi, utaishia kuwa na nyumba ndogo ambaye baada ya muda naye utamuona kibibi, ukipenda penda tabia, hayo ya sura ni nyongeza tu!
 
hii ni problem.........waambie dada zako waoe kama wanaka.

kwani mke atakuwa wako au atakuwa mke wao?
 
Kama ni hivyo pale corner bar au Jolly club kuna wadada wazuri sana kwa sura, kachukue mmoja pale uone kama suala la kumbadilisha tabia ni rahisi kama unavyofikiria!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom