Bora tusiende Cameroun,kule tunaweza kuwa daraja la mataifa mengine

Ketoka

JF-Expert Member
Sep 23, 2015
1,087
1,913
Walahi kwa mpira huu,na kocha huyu bora tuendelee kucheza mchangani na ni bora tufungwe ili tusiende AFCON Cameroun maana huko tutakuwa daraja au timu ya kuchukulia pointi

Fikiria tupo kundi moja na Egypt,Ghana, Togo, Tanzania,hapa stars anapita wapi

Au Cameroun,Algeria,Burkinafaso,Tanzania

Nigeria,Ivory Coast,Libya,Tanzania

Mali,Guenea,Morocco,Tanzania

Uganda,Benin,Tunisia,Tanzania

Bora tujikite Ndondo cup
 
Mozambique,liberia ,zambia wenyewe atuwaweza sembuse hizo timu ulizozitaja jana nimechek game zao wapo njema sana
 
Mkuu sio "tunaweza" tutakuwa daraja na mimi ni mmoja kati ya Watanzania wenye nia njema tunao omba timu yetu isifuzu ili kutuepusha na aibu.
 
Sijui katuroga nani? Watu milioni 55 mpira olaaa. Maneno.matangazo kibao. Waziri ndani ya uwanja lakini timu lojo. Warudi tuendelee na ligi yetu.huko tuwaachie nagiant WA Africa. Ni kweli tutatia kichwa chwa mwendawazimu afu tunyolewe kavu. Mwee mweeee
 
Walahi kwa mpira huu,na kocha huyu bora tuendelee kucheza mchangani na ni bora tufungwe ili tusiende AFCON Cameroun maana huko tutakuwa daraja au timu ya kuchukulia pointi

Fikiria tupo kundi moja na Egypt,Ghana, Togo, Tanzania,hapa stars anapita wapi

Au Cameroun,Algeria,Burkinafaso,Tanzania

Nigeria,Ivory Coast,Libya,Tanzania

Mali,Guenea,Morocco,Tanzania

Uganda,Benin,Tunisia,Tanzania

Bora tujikite Ndondo cup
Kweli mkuu,Tanzania hatuwezi mpira kazi yetu ni maneno mengi
 
Mnaambiwa wekeza kwenye Riadha na michezo ambayo ni personal achievement. Timu huwezi kama huna maandalizi mazuri. Tunao wakimbiaji wengi tu ila hawana watu wa kuwatafuta na kuwatrain halafu lishe nalo ni shidaa.
 
Back
Top Bottom