Bora Serikali nzima ikawa ya wakristo au waislam pekee kuliko kuwa na wala rushwa na wahujumu uchumi

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Richa ya kwamba Ugaidi Tanzania Umedhibitiwa 100%. Hatuwezi tukakaa na kuridhika kwamba tupo salama. Tanzania tupo katikati ya Nchi ambazo wana Tatizo la ugaidi. Matukio ya kigaidi yamelitikisa Taifa la kenya nakupelekea watu wengi kupoteza maisha. Tanzania si haba maana tunasikia tu kwenye vyombo vya habari kuna viashiria vya ugaidi huko Mwanza, Tanga na sehemu nyingine.

Mimi kwa upande wangu nafuatilia sana habari za ugaidi na zinasikitisha sana. Wengi wa magaidi wanakuwa wanafahamika na jamii inayowazunguka. Mimi ninawaza kwamba kama kweli kuna shida ya kuhusishwa Ugaidi na Dini ya kiislamu na ushahidi upo na hakuna kiongozi hata mmoja wa kiislam amabae anaetoa taarifa ya kuwepo kikundi cha ugadi.
Serikali si ya kulaumiwa kabisa kwa kutunga sheria kali za kigaidi. Namshauri Sheikh Khalifa Khamis kuanzisha operation ya kubaini wanaochafua uislam.


Nimeona thread mbalimbali ambazo zinamlaumu rais kwa teuzi zake ila kwa hili hata mimi namuunga mkono walalamikaji. Kila uteuzi wa RAIS utasikia ni DK,Eg au Prof. Kwa Udini sidhani kama Rais ana udini wowote. Rais anataka vigezo sidhani kama mtu atakuwa na vigezo na kukosa uteuzi. Na hii Tanzania ilipofikia ni bora wakabaki waislamu au wakrito serikali nzima kuliko kuteua kuridhisha group la watu flani wala rushwa na wahujumu uchumi.
 
rais ana udini bhana usitake kuongea habari zako..waislam wanapigwa vita si tanzania bali hata ulaya,tena ulaya ndo wapingaji wa kubwa wa dini ya kiislam coz inabanaa mambo yote mabaya ndo maana wanapingana nayo na kamwehawafanikiwi abadani.
 
rais ana udini bhana usitake kuongea habari zako..waislam wanapigwa vita si tanzania bali hata ulaya,tena ulaya ndo wapingaji wa kubwa wa dini ya kiislam coz inabanaa mambo yote mabaya ndo maana wanapingana nayo na kamwehawafanikiwi abadani.
Mambo mabaya yapi? Hayo?
 
Kama ni hivo basi Rais wa Zanzibar mdini maana hajateua mkristo hata mmoja. Tuache marais wafanye kazi zao.
 
Hatuwashangai udini kazi yenu ndio maana nchi hii imefika hapa.Mmeifikisha nyie hapa.Hamna uwezo wa kuongoza pasipo ubadhilifu na hammuogopi mungu kabisa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom