bora serekali waweke hela kwenye timu ya taifa wanawake italeta sifa nchi yetu

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
serekali wawekeshe kwenye soka la wanawake wanaume vimeo kila siku waonikifungwa tu hata hawafiki popote
 
Naunga mkono hoja kwa asilimia mia, kwa bongo wanawake wanajua mpira kuliko wanaume.tuwekeze kama china na usa ambao wamejua kama soka ya wanaume kwao si sana.
 
Back
Top Bottom