Bora Punda afe, Mzigo ufike. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bora Punda afe, Mzigo ufike.

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ndibalema, May 12, 2010.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Ikifika mida ya kulala lazma uwe hoi.
   

  Attached Files:

 2. Noname

  Noname JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,269
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hii inaumiza roho...this make me wonder if i have expressed ample gratitude for all the blessing that God have given me in my life...
   
 3. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  MZEE HUYU WANAUME MATESOOOOOOO...x2 KUHANGAIKA!


  LAKINI IKIFIKA JIONI UTASHANGAA.....JAMAA YUPO BAA, AMEAGIZA VIROBA ZAIDI YA 10 AU MZINGA MZIMA WA NYAGI, ANA SIGARA ZAIDI YA PAKITI MBILI, ANA DEMU (STAILI ZILE ZA TANDIKA MIKOROSHINI) AMBAE PENGINE ATAKUTANA NAE BILA KINGA..(HAPO NDO KUJIUMALIZA ZAIDI UKIACHIA KAZI NGUMU, MAPOMBE NA SIGARA).....,

  ONA....DEMU KAJA NA MASHOSTITO WA TATU BAA......ANATAKA KUKU MZIMA,CHIPS MAYAI MBILI, NUSU MBUZI FUNGA, KACHUMBALI NA NYAMACHOMA YA MAMA NYUMBANI, YE HALI MBUZI,..

  ...HAPO DEMU AMEKUKIJA PIA NA KIMEMO TOKA SHULE YA MWANAE "ADA INAHITAJIKA BABA MWANAO HUYU....(KUDADADEKI HATA KAMA MLIANZA MAHUSIANO JUZI) "...MAMA MWENYENYUMBA MKOROFI..ANATAKA KODI YOTE MWAKA MZIMA..KUNA MAFUTA FULANI YA KUPATA (YALE YA TRANSFORMA) YANAHITAJIKA,


  .....DEMU NA TAKA HEINKEN, WENZIE WANATAKA REDDS, NA WANAKUNYWA KAMA MAJI YA VIROBA YALE YA AZAM DAKIKA MBILI CHUPA NANE KWISHA MOJA HUYO.. ...WANATAKA TWENDE MCHIRIKU TANDIKA KWA MAGURUWE, TUSIPANDE DALADALA VURUGU,..NAITA TAKSI..SIMU INASUMBUA TOKA ASUBUHI IPO KWA FUNDI TUIPITIA...FUNDI ANATAKA MWEKUNDU WA MSIMBAZI...SIMU INAHITAJI VOCHA ..BUKU TANO HAITOSHI TUTAWASILIANAJE?

  MAULINDI IMEKARIBIA NGUO BABA ..KUNA FUNDI MZURI SEHEMU...KARIBU PANA SALOOON WANASUKA VIZURI KWELI NYWELE ZA KIMASAI/ MAJI MOTO BEI SI KUBWA SANA MSIMBAZI MOJA TU...

  ....AAAAAAGHAA. TABU TUPU, SIJUI TUTASAIDIANAJE!!
   
 4. s

  sammie Member

  #4
  May 12, 2010
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HII KALI MTU WANGU UNAWEZA KUOMBA ARDHI IPASUKE UTUMBUKIE NDANI. LAKINI NDIO HIVYO KAZI TOFAUTI MATUMIZI SAWA.:angry::angry:
   
 5. Raimundo

  Raimundo JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2010
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 13,552
  Likes Received: 10,940
  Trophy Points: 280
  Nimeipenda hii; Kazi Tofauti, Kipato tofauti matumizi sawa.
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ukitoka hapo chakula unachotakiwa kula na pesa uliyopata havilingani
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  May 13, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndiyo inaitwa lumbesa! Na akimaliza mzigo ukifika anaenda kula mihogo ya kuchoma na jioni kunywa gongo a.k.a malapulapu! Life inasonga, damn!
   
Loading...