tropa92
Senior Member
- Jan 25, 2017
- 156
- 217
We jamaa kuna vitu tunafanana sanaMimi nataka nirudie pepa PCM
ila muda umepita miaka sita sasa toka nimalize kidato cha sita(2013).
Najua Physics ni kiboko ila saivi akili yangu imetulia naweza nikasoma maana hela ya kuniwezesha ku survive ninayo(π)
Kipindi niko shule nlikua sina nidhamu, bifu na walimu, shule siendi, matokeo physics nikapeperusha bendela.
Nilipo feli nikaona kama ndo mwisho wangu maana nyumbani bilabila.
Nilishindwa kukubaliana na matokeo maana nina akili sana(nazi ilivunja jiwe)
Nikaenda kusoma diploma bas tu nlikua sina cha kufanya maana akili yangu ilikua haipo hapo, chuo hata sikuwahi kupata appetite ya kusoma
Nikawa tu kama nimeenda kukua (sikuwa matured nlikua na miaka 20) kidogo chuo kinishinde siendi mapindi bas tu ponapona yangu nilikua sidoji kufanya mitihani, miaka miwili ikaisha 2015 nikahitimu GPA 2.3
Nikasota miaka miwili, 2017 mwishoni nikaingia kwenye government payroll na hako ka GPA kangu.
Saivi muda ninao, nia ninayo, akili zimenijaa na nidhamu juu. Nataka nirudi shule maana Physics sikuitendea haki,
Ima only 26 (turning 27 by Sept) nataka nikifikisha miaka 30 kama sipo chuo ntaachana na mambo ya kusoma maana kama akili ninazo AMBACHO SINA NI HELA.