Bora nirudie paper la six kuliko foundation

Nilimaliza six 2013 nikapata three point 15 mishe mishe za hapa na pale nikaajiriwa vyombo vya ulinzi wenzangu wakaenda vyuo kwa ufauru mpk wa three 16 kipindi hcho mwaka 2013 unapata na mkopo asilimia 100 kozi yoyote ile mm nikaamua kurudi shule mwaka 2015 ase mambo yanabadirika usiambiwe nikaambiwa sina vigezo na three yangu point 15 nikakomaa diploma nilisoma kwa hacra ningapiga gpa 4.8.Mwaka huu naomba kusoma degree yangu nilichojifunza katika maisha lazima ujitoe sadaka ili ufanikiwe.
 
Mimi nataka nirudie pepa PCM
ila muda umepita miaka sita sasa toka nimalize kidato cha sita(2013).

Najua Physics ni kiboko ila saivi akili yangu imetulia naweza nikasoma maana hela ya kuniwezesha ku survive ninayo(π)

Kipindi niko shule nlikua sina nidhamu, bifu na walimu, shule siendi, matokeo physics nikapeperusha bendela.

Nilipo feli nikaona kama ndo mwisho wangu maana nyumbani bilabila.
Nilishindwa kukubaliana na matokeo maana nina akili sana(nazi ilivunja jiwe)

Nikaenda kusoma diploma bas tu nlikua sina cha kufanya maana akili yangu ilikua haipo hapo, chuo hata sikuwahi kupata appetite ya kusoma
Nikawa tu kama nimeenda kukua (sikuwa matured nlikua na miaka 20) kidogo chuo kinishinde siendi mapindi bas tu ponapona yangu nilikua sidoji kufanya mitihani, miaka miwili ikaisha 2015 nikahitimu GPA 2.3

Nikasota miaka miwili, 2017 mwishoni nikaingia kwenye government payroll na hako ka GPA kangu.

Saivi muda ninao, nia ninayo, akili zimenijaa na nidhamu juu. Nataka nirudi shule maana Physics sikuitendea haki,

Ima only 26 (turning 27 by Sept) nataka nikifikisha miaka 30 kama sipo chuo ntaachana na mambo ya kusoma maana kama akili ninazo AMBACHO SINA NI HELA.
Mkuu sio kama nakudharau lakini ina shangaza kusema una akili nyingi lakini ukafanya vibaya form 6, ukaenda chuo ukapata GPA ya baseline kwenye diploma!

Huko kujiamini kwako kwamba una akili ndio kulikufanya usisome kwa juhudi ukajikuta haufanyi vizuri six na dip.
 
Nilimaliza six 2013 nikapata three point 15 mishe mishe za hapa na pale nikaajiriwa vyombo vya ulinzi wenzangu wakaenda vyuo kwa ufauru mpk wa three 16 kipindi hcho mwaka 2013 unapata na mkopo asilimia 100 kozi yoyote ile mm nikaamua kurudi shule mwaka 2015 ase mambo yanabadirika usiambiwe nikaambiwa sina vigezo na three yangu point 15 nikakomaa diploma nilisoma kwa hacra ningapiga gpa 4.8.Mwaka huu naomba kusoma degree yangu nilichojifunza katika maisha lazima ujitoe sadaka ili ufanikiwe.
Hapo nimekuelewa vizuri sana...
 
kWa hyo mkuu wewe ni afande wa chombo gani cha ulinzi mkuu ?

nna hasira na gpa nataka nipate ya 5.0 hasaa
 
Back
Top Bottom