Bora nirudie maisha ya u playboy tu

Huyo alikuwa na mtu wake toka mlipokutana sema tatizo wewe unahonga sana humfikishi kwenye utamu mnapokuwa kwenye Faragha inabidi amfuate anaemkuna vyema vyema kisha anakuja kuchukua hela ya matumizi kwako CHEZEA KIBAMIA HAKINA RAFIKI WA KUDUMU.
 
Asalamu wanajamvi humu.

Kama kichwa kinavyojieleza nimeamua kuurudia u playboy kwa mabinti maana nimeona kujifanya unapenda mtu ni donda la moyo.

Nina mpenzi wangu nipo nae kama huu sasa ni wezi wa nane. Sasa imeibuka tabia anaaga anaenda kuona ndugu zake halafu akifika huko hapokei cm mpaka atoke ndo akupigie. Sasa haya mm siyawezi bora niwe nachapa tu na kulala mbele maana hawaviumbe ukijifanya unawapenda wanakuona mwehu.
Kumpenda mwanamke sio tatizo, shida ni kumwonyesha kama unampenda sana, kumkabidhi moyo wako mazimaa............hapo ni sawa na kufanya forex trading na huna knowledge ya kutosha, kuunguza accounts (Moyo) ni muda wowote!
 
  • Thanks
Reactions: e2n
Huna lolote umesikia kuna mpango wa Serikali kugawa kinga za Ukimwi ndio zinakupa jeuri,, sasa kwa taarifa yako zile kinga bado zipo kwenye majaribio.
Wewe chezea koki tu, utaloa muda si mrefu.
 
Hizi sehemu za katikati zinasumbua kweli kwelii,, Kwanin Mungu hakuweka vidude vingine kuepusha migogoro,, angeweka vikojoleo tuu na akatoa yale mengine
 
Njoo tuchezeane ila ukidata usije ukaweka ofofficial mimi na wewe no maplayers to sijui wewe ni timu gani?
Mimi ni arsenal tena nachezea namba ya ushindi
 
Kumpenda mwanamke sio tatizo, shida ni kumwonyesha kama unampenda sana, kumkabidhi moyo wako mazimaa............hapo ni sawa na kufanya forex trading na huna knowledge ya kutosha, kuunguza accounts (Moyo) ni muda wowote!
Mkuu nisaidie nitawezaje kupata knowledge ya forex trading?
 
Kumpenda mwanamke sio tatizo, shida ni kumwonyesha kama unampenda sana, kumkabidhi moyo wako mazimaa............hapo ni sawa na kufanya forex trading na huna knowledge ya kutosha, kuunguza accounts (Moyo) ni muda wowote!
Nimekoma mkuu
 
Na wewe unaamini huwa anaenda kwa ndugu zake hahaaa uvulana raha
 
Hizi sehemu za katikati zinasumbua kweli kwelii,, Kwanin Mungu hakuweka vidude vingine kuepusha migogoro,, angeweka vikojoleo tuu na akatoa yale mengine
Naunga mkono hoja Mungu angeweka tu.pakutolea haja.bas mapenz yana run dunia....
 
Aiseeeeee mkuu umenifumbua macho nilikuwa sijui mm nilikuwa najifanya bingwa wa kupenda.

Usikute alishakusema kwa mabwana zake wa nje kuwa unajifanya mwanamme wa Dar na vijitabia vyako tata pia hujuwi kupenda....wanawake hawaeleweki hata.
 
Dont love woman ,respect ,care and handle her with attention ....!! Otherwise you will suffer ....!!
 
Kama uko chini ya miaka 28,jisogeze mbele za muumba akuandalie mke,kama uko 30 and above muombe akupe mke kama uko chini ya 25 kazana sana kujenga maisha,NYEGE HAZIISHI
Best advice ever
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom