Bora Nibakie Kuwa Bikra Kuliko kuzaa na Mume wa Mtu...

Utaratibu unavunja katiba ya jamhuri ya muungano ya Tanzania na mikataba ya kimataifa ya kutunza haki za binadamu.

Kila mtu ana haki ya kuzaa.

Hata kwa mkataba, kwamba mwanamme nipe mbegu halafu jikate tusijuane.

Sasa mama kama huyo utamlazimisha vipi aje na baba wa mtoto wakati yeye hataki kukaa na baba na kashamlipaujira wake na mkataba wao umeisha mama alivyoshika mimba tu?

Mtu kama huyo utamfanyaje hapo?

Habari za kumtaka aende serikali za mitaa ni unyanyasaji tu hapo.

Kama mzazi anataka kwenda clinic mwenyewe, kumdadisi zaidi ni kumyanyasa tu.

Kuna watu wanashika mimba kwa kushikwa kwa nguvu, mwanamme anakimbia.

Mtu kama huyo ukimlazimisha aje na baba mtoto kliniki, au aende serikali za mitaa kuhadithia watu baki kwamba alibakwa na hamjui baba mtoto, anaomba barua, ni kumuongezea chumvi juu ya kidonda.
Point sna, na ikiwa mtu kapata mimba kwa mrija yan kanunua mbegu zza kiume kajiingiza atamapata wapi baba mtoto
 
Hakuna anayekubali kuzaa na mume wa mtu; ikumbukwe kuwa mapenzi ni hisia. Unaweza kuwa kwenye mahusiano na mme wamtu ... ile mnaendelea kuhudumiana .. mimba.
Unakataa kwamba huyo mume wa mtu humpi taarifa ...
Mimba unambambika mwingine unayempenda zaidi ... mtoto anazaliwa .. majanga
Unaenda kupata ushauri wa kitaalamu, unaambiwa mtoto alompa jina sio baba yake ...
Unamrudia mme wa mtu ili kumnusuru mtoto.
Imekaaje hiyo!
 
poa tu boss
 
Back
Top Bottom