Bora Nibakie Kuwa Bikra Kuliko kuzaa na Mume wa Mtu...

HII ITAKUWA MSAADA SANA KWA WALE WANAOJIBEBEA MIMBA HOVYO KUUMBUKA.
Nadhani mimba zisizotarajiwa zitapungua mitaani
Nani kakuambia?
Kwani nikimzalisha mwanamke yuko njombe na Mimi dar ntashindwa nini kuhudhuria clinic ya kwanza?

Ni rahisi kuliko kawaida.
Hawaulizi hata vitambulisho.
Unaweza beba hata binamu yako au teja stand ukamlipa na kwenda naye
 
Sasa kua bikra na kuzaa na mume wa mtu kuna uhusiano gani?

Ila wanaozaa na waume za watu nao wana mioyoooo! You will forever be number 2!
 
Nani kakuambia?
Kwani nikimzalisha mwanamke yuko njombe na Mimi dar ntashindwa nini kuhudhuria clinic ya kwanza?

Ni rahisi kuliko kawaida.
Hawaulizi hata vitambulisho.
Unaweza beba hata binamu yako au teja stand ukamlipa na kwenda naye
Hahahahhahahaha teja
 
Back
Top Bottom