Bora kusoma takwimu kuliko kuzitoa kichwani

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Kama mtangazaji hasingetoa takwimu ya nyumba zilizovunjwa (784) na idadi ya walioachwa bila makazi (12,000), takwimu za idadi ya wakazi waliopoteza makazi yao kwenye mtaa huo zilizotolewa na mwenyekiti wa mtaa, bwana Chacha Mwita zingenishtua sana yaani mtaa wake una wakazi milioni 12.

watu 12,000, nyumba 784 ni sawa na wastani wa watu 15 kwenye kila nyumba.

Huyo dada kalala chini kazimia au anaigiza, mbona hapewi msaada wowote ule hata huduma ya kwanza au kuachwa vile ndio huduma yenyewe ya kwanza? Nadhani hapo alitakiwa mtu mmoja au wawili wamfanyie resuscitation huyo dada.

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom