Bora Kumtukana Kikwete Kuliko Kuwatukana Watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bora Kumtukana Kikwete Kuliko Kuwatukana Watanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ng'wanangwa, Oct 28, 2010.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Nimesoma post moja humu jamvini kwamba, akiwa viwanja vya Mwembeyanga, Kikwete aliwatukana Watanzania waliohudhuria mkutano wa Dr. Slaa kwa kuwaita "majuha".

  **** maana yake ni mtu asiyejua kitu. Kwa hiyo Watanzania hatujui kitu. Haya si matusi jamani?

  JK subiri October 31. Utajua kama Watanzania ni majuha au wewe na familia yako ndiyo majuha.
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  duuuuuuu mwacheni raisi jamani!!!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hapo ni pamoja na wanausalama wake anaowatuma kunusanusa mikutanoni,
  Ni pamoja na mapolisi wake, na wapambe zake wengineo!:nono:
   
 4. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  kwanza watu wa pwani matusi ni lugha yao ya kawaida.
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahahahaha,kama methali ni matusi kwanini tunafundishwa mashuleni?
  "asiye funzwa na mamaye,hufunzwa na ulimwengu" eti ni tusi?au kwa kua imetumika kwa kikwete?
   
Loading...