Bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bora kufa ukiwa umesimama kuliko kuishi ukiwa umepiga magoti!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Giddy Mangi, Nov 11, 2011.

 1. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mungu mwenye uwezo nakuomba uniwezeshe kuishi maisha ya afya njema na amani. Kuliko niishi kwenye nchi yangu kiniwa nimepiga magoti ni bora nife nikiwa nimesimama.

  Nipo tayari kwa lolote. Mungu yupo upande wetu kwani sisi tuna Mungu wao wana pesa.
   
 2. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Dhulma ikizidi sana inawafanya watu wajijeengee ujasiri kama wa WAPALESTINA.
   
 3. m

  maselef JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Maneno mazito
   
 4. rasmanyara

  rasmanyara Senior Member

  #4
  Nov 12, 2011
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 198
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Maneno yanadhihirisha kuchoshwa na uonevu
   
Loading...