Bora Investors waende Rwanda, Uganda,Mozambique na Kenya

threadcritic

Member
Jul 12, 2011
27
1
Najua watu watakuja hapa kusema kuwa hatuna uzalendo lakini ukweli lazima usemwe.

Last week viwanda 6 vimefungwa Keko kwa sababu hakuna umeme...hivyo waajiriwa wamekuwa laid off, hivyo hawatoweza kuwalisha familia zao na pia hawatoweza kuwasomesha watoto wao...na hawa ni watu wa kipato cha chini.

Sasa hivi hapa Dar even the middle class are feeling the pinch kwani dizeli ya jenereta zao imepanda na as I write leo ni siku ya 3 hatuna umeme kwetu na sitoshangaa tukakosa na kesho pia

Rais kila kukicha na jamaa wa TIC wanaongeza bajeti za kwenda nje kutafuta wawekezaji lakini its about time tukaambiana ukweli.

Hakuna mwezekazaji atakaye kuja kuinvest kwenye nchi ambayo tuna PLAY POLITICS kwenye mambo ya uchumi. Kila kitu tunafanya siasa.

Kuna wawekezaji kwenye sekta mabali mbali wanataka kuja hapa na wengine nijuavyo washakuja na binafsi najua wawili watatu ambao wako kwenye stages za awali za kutaka kufungua viwanda vyao hapa. I regret kuwa nitawaambia wawende zao Rwanda au Msumbiji ambako hakuna upuuzi huu tunaoendekeza hapa.

Wanasiasa na viongozi wetu wako deluded kuwa all will be fine lakini ukweli unabaki pale pale kuwa at some point watu wataingia mtaani kwani trigger point ni hii.

Tumengangania kuwa eti ROSTAM na LOWASA waondoke lakini ukweli ni kuwa the entire Cabinet has to resign na haitodhuru nchi ikawa chini ya wanajeshi for sometime...afterall naona utawala wa kiraia hauna maslahi kwetu.

Kesho asubuhi nakutana na hawa wa Jerumani na nitawaambia kuwa waende Rwanda au Uganda na kiwanda chao sisi bado hatuko serious.
 
There is no conducive environment in tanzania for any investment!investors dont dare to come in tanzania, u will regret
 
Napata shida sana na hizi endless trips za viongozi wakuu wa nchi kutafuta wawekezeji! Biashara bila umeme?
 
Sawa tunashida lakini mbona uzalendo unakushinda?

wewe unataka umeme kwa ajili ya internet tuu? Mbona huwafikiriii walioko vijijini ambao hawajui maana ya huo umeme kuwepo?
 
Wataenda Nchi hizo lakini aim yao ni Tanganyika... Tanganyika kuna Diamond, Gold, Uranium, Coal, Iron, Coltan(madini ya kutengeneza cellphone-very rare), Chromite(very rare minerals to make TV's) Lots of GAS, OIL, Huge available Arable Land & Nyerere's PEACE.

Only in Tanganyika... so they will find their way ... Uganda, Kenya, Rwanda, Burundi, Z'Bar nothing like Tanganyika!!!
 
Sawa tunashida lakini mbona uzalendo unakushinda?

wewe unataka umeme kwa ajili ya internet tuu? Mbona huwafikiriii walioko vijijini ambao hawajui maana ya huo umeme kuwepo?

Mkuu tatizo ni kuwa unaweza kuendesha kiwanda bila umeme?
 
Back
Top Bottom