Yes mimi ni mwanaccm damu. Lakini nikimsikiliza Dkt. Bashiru akikosoa wanaomsifia mama napata kichefu chefu.
Huyu ndo katibu mkuu wa kwanza wa CCM kufanya biashara ya kununua wapinzani kwa pesa za walipa Kodi wa nchi hii. Tulikuwa tunaumia saaana na kuona ubakwaji wa demokrasia lkn tuliamua kukaa kimya wapinzani walikuwa wanalia hadharani nasi tulikuwa tunalia kimya kimya
Tulikuwa tunakumbuka chaguzi ndogo za ubunge wa Tarime baada ya kufariki Chacha Wangwe, uchaguzi mgodo wa Arumeru kwa Nasari kufuatia kifo cha Jeremiah Summari na ule wa Igunga kwa Rostam Azizi kujiuzulu ubunge jinsi CCM ilivokuwa inashindana kwa hoja na CHADEMA ( japo hazikuwa sahihi 100%) lakini kulikuwa na demokrasia
Sasa njoo uone chaguzi ndogo za Bashiru za mbunge asubuhi anatoka CHADEMA, jioni anagombea CCM na anakuwa mbunge. Dkt. Bashiru kaa kimya mzee wetu
Huyu ndie alienukuliwa akitamka hadhari kuwa CCM unatumia dola kubaki madarakani leo atatuambia nini
Inawezeka ana hoja ya msingi lakini inatia kinyaa kahaba kukuhubiria uache uzinzi ni kweli uzinzi ni dhambi lakini kahaba anapata wapi moral authority ya kuwakemea wengine
Mimi nadhani angebaki na ubunge wake amalizie muda wake akafundishe chuo kikuu basi.