Bora Bunge limeisha, sasa tunapata umeme hadi mida hii

Nkobe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
2,050
2,000
Tangu jana usiku umeme aujakatwa mpaka mida hii, siku 4 zilizopita ilikuwa ni nadra sana kuwepo umeme. Ilibidi tukusanyike kwenye maeneo yenye Generator ikiwemo vibanda vya waonesha mipira mitaani, au kuchaji simu usiku wa manane baada ya Bunge ili kusikiliza kwa Radio ili kujua kuhusu ujambazi wa ESCROW. Leo kuna nafuu, mji mzima umeme na shughuli za uchumi zinakwenda barabara kabisa


 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom