Boom??

Konzogwe

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
434
155
Jamani nisaidieni kujua. Eti Boom hupewa wale wanafunzi walioomba mkopo toka Heslb tu? Au mwanafunzi yeyote aliye dahiliwa kwenye chuo chochote cha elimu ya juu bila kujali ameomba mkopo au hakuomba?
Asante.
 
omba chuo TCU, ukichaguliwa majina yatakwenda HESLB...

Ukiripoti chuo ulichochaguliwa, unapewa mkopo wako!
 
ishu iko hivi: wakati unaomba chuo pia unaza fomu kwa ajiri ya kuopewa mkopo,kwenye hiyo form utakua umejaza inormation tofauti tofauti mpaka na acount numbber yako ya benki, kabla hata ujajua unakwenda chuo gani, kwenye chuo ambacho wata ku admit, watapelekeka majina yote pamoja na lako Board ya mikopo,wao wataanza kuku evaluate upate mkopo daraja gani, either A(100%), B(80%), C(60%), na kuendelea, kulingana na information ulizowapa kwenye ileeeeeeeeeeeeee fom uliyo jaza mwanzo, kama ukiwa successiful in either of categorie then utaanza kuonja ladha ya boom accordingly , so lazima ujaze form ya mkopo helsb,ndio upate mkopo kwa uelewa wangu. hope utakua umenielewa
 
Back
Top Bottom