Boom j8 inauzwa

cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
6,086
6,726
Wakuu natumai mu wazima wa afya.Nauza tecno boom j8 ina kila kitu chake bado mpya.Ukihitaji na risiti nakupa.Simu ni latest ni 4G LTE,16GB STORAGE,2GB RAM.Nauza kwasababu nina dharura ya haraka.Bei ni 260k.
 
Wakuu humu kwenye jukwaa kuna matapeli wanajifanya wanunuzi nitawataja ID zao.Juzi kati walitaka kunitapeli nikawashtukia.Itabidi watajwe tu ili kila mmoja awafahamu na waache tabia yao ya kutia aibu jukwaa.
 
Pole sana
 
Pole sana
Mkuu kuwa nao makini sana wapo wengi tu hadi kwenye magari.Kuna matapeli wa sinza walitaka kutukamatisha hela bandia baada ya mauziano ya hiace.Nilikatisha biashara haraka sana sikuwaamini tena hata walivyojaribu kujitetea.Waliingiza hela nusu account halafu iliyobaki wakasema watanilipa cash kwa dollar.Loh,kumbe dollar fake.
 
Ilikuaje ukawashtukia mkuu?na mwisho wake ilikuaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom