Boom j8 inauzwa

cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,923
2,000
Wakuu natumai mu wazima wa afya.Nauza tecno boom j8 ina kila kitu chake bado mpya.Ukihitaji na risiti nakupa.Simu ni latest ni 4G LTE,16GB STORAGE,2GB RAM.Nauza kwasababu nina dharura ya haraka.Bei ni 260k.Nipo Dar.0712484858,call/sms/whatsapp.
 
cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,923
2,000
Wakuu humu kwenye jukwaa kuna matapeli wanajifanya wanunuzi nitawataja ID zao.Juzi kati walitaka kunitapeli nikawashtukia.Itabidi watajwe tu ili kila mmoja awafahamu na waache tabia yao ya kutia aibu jukwaa.
 
rubii

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
11,451
2,000
Wakuu humu kwenye jukwaa kuna matapeli wanajifanya wanunuzi nitawataja ID zao.Juzi kati walitaka kunitapeli nikawashtukia.Itabidi watajwe tu ili kila mmoja awafahamu na waache tabia yao ya kutia aibu jukwaa.

Pole sana
 
cmp

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,923
2,000
Pole sana
Mkuu kuwa nao makini sana wapo wengi tu hadi kwenye magari.Kuna matapeli wa sinza walitaka kutukamatisha hela bandia baada ya mauziano ya hiace.Nilikatisha biashara haraka sana sikuwaamini tena hata walivyojaribu kujitetea.Waliingiza hela nusu account halafu iliyobaki wakasema watanilipa cash kwa dollar.Loh,kumbe dollar fake.
 
jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,731
2,000
Mkuu kuwa nao makini sana wapo wengi tu hadi kwenye magari.Kuna matapeli wa sinza walitaka kutukamatisha hela bandia baada ya mauziano ya hiace.Nilikatisha biashara haraka sana sikuwaamini tena hata walivyojaribu kujitetea.Waliingiza hela nusu account halafu iliyobaki wakasema watanilipa cash kwa dollar.Loh,kumbe dollar fake.
Ilikuaje ukawashtukia mkuu?na mwisho wake ilikuaje?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom