yaani mi huwa nakushangaa sana ivi kuna aja kutangaza kila ktu kinachotokea huko. vp test bado hamjaanza kufanya?
karibun saana sua tunasoma bila matatizo.
wa mwakaleli mna shida kweli.
Mawili,
1.kama sio mwaka wa kwanza.
2.si mwenyeji sana wa pesa.
wa mwakaleli mna shida kweli.
Mawili,
1.kama sio mwaka wa kwanza.
2.si mwenyeji sana wa pesa.
hahahahahaaaaaa, umeona eh? Ila afadhali amesema, kuna dogo namdai kule, kila siku ni sound mpaka nachoka, saivi ni full force with facts.
ulihamiaga BVM au?@lugano5
Haya kale boom na demu wako na malaya wa KAHUMBA