Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,135
- 13,254
Mwanamke haruhusiwi kuolewa na 'wanaume' bali 'mwanaume'....
Mwanaume anaruhusiwa kuoa WAnawake...
Chimbuvu,ndio lugha gani hii?
hii nimeikataa kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.......Mwanamke haruhusiwi kuolewa na 'wanaume' bali 'mwanaume'....
Mwanaume anaruhusiwa kuoa WAnawake...
Natoka kivyangu vyangu.
he heeeeeeeeeee, I can't wait kuona nani atachaguliwa, lol! bora mimi nina mmoja tu.....:mwaaah:Ngoja aje Asprin akikubalian nawe anachagua 1 then wakeze Yummy BADILI TABIA cacico na Kongosho tunagawana!