BOOKING YA COUPLE ya CHRISTMAS na MWAKA MPYA.

Arushaone kamati iko kwenye wakati mgumu sana kutokana na kizaizai alichokileta mtani wangu majuzi kati.

Taarifa kamili itatolewa na babaV wakati wowote.

Ni member yupi ungependa kutoka naye kwa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka? Angalizo: Kamati ya mahusiano chini ya Baba V Mamndenyi Judgement iko macho, usimchukue wa mwenzako. Mahusiano mapya ruksa kwa walioko single.....CHANGAMKA!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom