Nime ki google nimepata soft copy yake. ThanksVipo vitabu vingi sana vya kuongeza maarifa ila kwakuwa najua wengi wetu hatuipendi sana kusoma vitabu leo napenda niwashauri kuna hiki kitabu kinaitwa THE POWER OF SELF DISCIPLINE kimeandikwa na BRIAN TRACY mkipata muda mkisome kwani kitawakufundisha vitu vingi from self discipline,time management,work , relationship na vitu vingine vingi tu.
Sent from my Huawei mate 9
Asante mkuuBaadhi ya vitabu hivyo hapo!kazi kwako!wakati ndio huu.
Pamoja mkuu.Asante mkuu
Thanks!be blessedBaadhi ya vitabu hivyo hapo!kazi kwako!wakati ndio huu.
Shukran!! mama wawili.Thanks!be blessed
John Grisham my man.Dan Brown
1. The Lost Symbol
2.The Da Vinc Code
3. Angels And Demons
4. The Inferno
WARNING!
Ukimsoma Dan Brown Jiandae Kuwa
Mpagani.
John Grisham
1. The Rogue Lawyer
2. The Firm
3. The Associates
4. The Sycamore Tree.
HINT
Ukimsoma John Grisham Utakuwa
Bonge La Lawyer Duniani.
Ova.
Aisee!John Grisham my man.
Hiyo namba 4 ni Sycamore Row sio Sycamore Tree.
√A Time to Kill
√The Firm
√The Pelican Brief
√The Client
√The Chamber
√The Rainmaker
√The Runaway Jury
√The Partner
√The Street Lawyer
√The Testament
√The Brethren
√A Painted House
√Skipping Christmas
√The Summons
√The King of Torts
√Bleachers
√The Last Juror
√The Broker
√The Innocent Man
√Playing for Pizza
√The Appeal
√The Associate
√Ford County
√Theodore Boone: Kid Lawyer
√The Confession
The list goes on. My favourite Author of all time.
John Grisham my man.
Hiyo namba 4 ni Sycamore Row sio Sycamore Tree.
√A Time to Kill
√The Firm
√The Pelican Brief
√The Client
√The Chamber
√The Rainmaker
√The Runaway Jury
√The Partner
√The Street Lawyer
√The Testament
√The Brethren
√A Painted House
√Skipping Christmas
√The Summons
√The King of Torts
√Bleachers
√The Last Juror
√The Broker
√The Innocent Man
√Playing for Pizza
√The Appeal
√The Associate
√Ford County
√Theodore Boone: Kid Lawyer
√The Confession
The list goes on. My favourite Author of all time.
Ninazo paperback baadhi ila nyingi ni pdfs. Paperbacks nyingi nimeazimisha hazikuwahi kurudi siunajua wabongo akiona novel anajidai na yeye anapenda kusoma ukimpa hata hajui kaweka wapi maana hana kipaji cha kusoma.Aisee!
Nobody can fool you around with laws.
Unazo Hard copies?