Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,519
Mimi nasoma World Book Encyclopedia
Mimi nasoma World Book Encyclopedia
Soma 'Dreams from My Father'
Ni kheri nisome machapisho ya Global Publishers kuliko pumba zilizomo humo...
Nakubaliana na wewe..
It's a wastage of time
Ni kheri nisome machapisho ya Global Publishers kuliko pumba zilizomo humo...
Ni kheri nisome machapisho ya Global Publishers kuliko pumba zilizomo humo...
Nakubaliana na wewe..
It's a wastage of time
Haya kasomeni hicho kipya cha Cheney!
PS. How is Irene treating you so far?
I'm far from its path...I'm on the southeast.
Si ndiko ilkoanzia huko kwenu so u mean imeshawapita?
Fafanuwa,.....maana zipo A mpaka Z, sasa wewe unasoma kipi?Mimi nasoma World Book Encyclopedia
Si ndiko ilkoanzia huko kwenu so u mean imeshawapita?
By the way, umeona jinsi Romney wako alivyopigwa teki na Perry?
Lolzzz wifi...wiki ijayo ntaenda mahakama ya mwanzo kudeal na paper work!!Ohh alafu ntakuPM kitu!!
How did you know it is wastage of time - did you waste your time reading it?
Hapana...imeanzia huko Caribbean kwenye visiwa vya Lesser Antilles, ikapita Puerto Rico, Turks and Caicos, na ikakatiza Bahamas na kufanya uharibifu.
Ilipotoka Bahamas ikapita pembeni ya Florida na kwenda kutua North Carolina na kuendelea juu huko.