Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

Decision Points - George W. Bush. Sio kizuri sana, normal majigambo ya bush na kujitetea sana.

Pia nilisoma kitabu kuhusu Middle East nimesahau tittle na mtunzi, nafikiri ni MODERN MIDDLE EAST, nilifurahishwa na Saud Arabia jinsi walivyoweza kudai royalties za mafuta kutoka 20% na kupanda every few years na mpaka sasa wanachukua asilimia 100 ya hela yote ya mafuta yao.
 
The power of Now(Eckenhalt Tolle), The New Earth (Eckenhart Tolle), The problem Behind All Problems, The Third Eye
 
Si ndiko ilkoanzia huko kwenu so u mean imeshawapita?

Hapana...imeanzia huko Caribbean kwenye visiwa vya Lesser Antilles, ikapita Puerto Rico, Turks and Caicos, na ikakatiza Bahamas na kufanya uharibifu.

Ilipotoka Bahamas ikapita pembeni ya Florida na kwenda kutua North Carolina na kuendelea juu huko.
 
karibu wifi, u deserve it! its a nice story, typical situation kwa watoto na wadogo zetu wa kitz. im picking a few lessons from it for later. tumalizane huko chumbani...
Lolzzz wifi...wiki ijayo ntaenda mahakama ya mwanzo kudeal na paper work!!Ohh alafu ntakuPM kitu!!
 
Hapana...imeanzia huko Caribbean kwenye visiwa vya Lesser Antilles, ikapita Puerto Rico, Turks and Caicos, na ikakatiza Bahamas na kufanya uharibifu.

Ilipotoka Bahamas ikapita pembeni ya Florida na kwenda kutua North Carolina na kuendelea juu huko.

Hata tetemeko halikukufikia huko?

Kama uko Florida msimu wenu bado!
 
Back
Top Bottom