Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
The art of war by sun Tzu . ingawa cha zamani Uzuri wake kipo pia katika audio format amabayo inkuwa rahisi kusikiliza simulizi katka situation tofauti.
Ingawa kinaongelea mambo ya vita kwangu naona ni management . Jisni ya kumanage , kumkabili na kumshinda adui teh teh teh teh.
Ingawa kinaongelea mambo ya vita kwangu naona ni management . Jisni ya kumanage , kumkabili na kumshinda adui teh teh teh teh.