Book reading: Unasoma au Umesoma kitabu gani ungependa wengine wakisome?

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,945
0
The art of war by sun Tzu . ingawa cha zamani Uzuri wake kipo pia katika audio format amabayo inkuwa rahisi kusikiliza simulizi katka situation tofauti.

Ingawa kinaongelea mambo ya vita kwangu naona ni management . Jisni ya kumanage , kumkabili na kumshinda adui teh teh teh teh.
 

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,743
2,000
rise above by gwen shamblin
the blood vines by erica spindler
short stories by jeffrey archer
zawadi (unpublished) by lizzy jf (jf ndo jina la babake)
i read a minimum of 3 books at per
 

Bei Mbaya

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
2,263
1,250
mtazamaji na elungata
tafuteni pia kitabu kinaitwa 48 laws of power
si ndio Marchiavelli's imeandikwa na Robert Greene?

sidhani kama ni kitabu, ni kama ka-article hivi

ila ni nzuri though kama radical saana
 

moto ya mbongo

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
468
500
James hadley chase:
1.the soft centre
2.no lotus for miss blandish
3.we will share a double funeral
4.a lotus for miss quon

j.k. Nyerere
uongozi wetu na hatima ya tanzania
robert kiyosaki
1.cashflow quadrant
2.building pipeline for cashflow
3.guide to investment
4.increase your financial iq

and many more
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,486
2,000
Nimesoma:
1.The 100 Simple Secrets Of Happy People by David Niven.
2, Practical Steps To Self-Respect And Compasionate Relationships by David Richo.
3. How To Succed With Women by Ron Louis, David Copeland
 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
51,974
2,000
si ndio Marchiavelli's imeandikwa na Robert Greene?

sidhani kama ni kitabu, ni kama ka-article hivi

ila ni nzuri though kama radical saana
The 48 Laws of Power is neither an article, nor a book per se. It is like some kind of a bible, complete with the reference column on the side. Greene is such a classicist.
 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
51,974
2,000
Satanic verse by Salman Rushdie.
Ila uongo mbaya, ukiondoa ushabiki na hype zoote, Rushdie ana style fulani ya kuandika tamu sana.

I don't read fiction, but I wanted to find out what this Rushdie is all about. So I read "The Ground Beneath Her Feet". The narration was electric.
 

Lizzy

JF-Expert Member
May 25, 2009
22,555
2,000
rise above by gwen shamblin
the blood vines by erica spindler
short stories by jeffrey archer
zawadi (unpublished) by lizzy jf (jf ndo jina la babake)
i read a minimum of 3 books at per
Lolzzz wifi...wiki ijayo ntaenda mahakama ya mwanzo kudeal na paper work!!Ohh alafu ntakuPM kitu!!

BtT...owwkey asante Bujibuji kwa hii thread maana inanikumbusha vitabu kadhaa nlivyotakiwa nisome na kuvimaliza ila nimeishia page za mwanzo...ntavikalia chini kwanzia kesho.

Lately nimesoma Single Part Estates sikumbuki kaandika nani ni kwaajili ya kufundishia history ...naenjoy kweli kumsoma mwl JKN na Idd Amin.
 

Suki

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
373
195
The Bookseller of Kabul by Asne Seierstad, for the 4th time (don't ask why) and The Pirate's Dilemma: How Youth Culture Reinvented Capitalism by Matt Mason.
 

Companero

Platinum Member
Jul 12, 2008
5,531
2,000
1. The Ascent of Money: A Financial History of the World by Niall Ferguson

2. The Monied Metropolis: New York and the Consolidation of the American Bourgeoisie 1850-1896 by Sven Beckert

3. The Wilsonian Moment: Self-Determination and the International Origins of Anticolonial Nationalism by Erez Manela
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom