Bonny Mwaitege amepotelea wapi?

Asa'rile

JF-Expert Member
Jun 29, 2012
438
120
Nakumbuka huyu jamaa, aliibuka na wimbo maarufu sana:- 'utanitambuaje,' single inayouza hadi leo katika soko la Nairobi.

baadae, akaibuka na 'njoo ufanyiwe maombi', nayo pia imetingisha kwelikweli. lakini tangu kipindi hiko hadi sasa, sijamsikia tena huyu jamaa. Au ndo kajichimbia Migombani kwenye Matoke?
 
Kuku alidonoa punje mbili, ikiwa na maana kwamba ni singo mbili tu zitakazowika mpaka arudi kwa mganga tena ili kuku adonoe punje zingine.
 
yuko bize na Bahati Bukuku wanakula bata, hela ikiisha atakuja na single nyingine
 
Naamini anajipanga atatupa good come back huyo sio bongo fleva.Huyo anamsifu Mungu lazima andiike mistari ya busara.:amen:
 
Back
Top Bottom