Boniface Jacob: Zijue sababu za UKAWA kukataa fedha za kuuzwa kwa UDA

Hapa ndio napoamini yohana hana dhamira ya kupambana na ufisadi hasa fisadi akitoka kanda ya lake
Amewaandama watu wa kaskazini tu nchi bado inabariki uwizi na ufisadi
Ni kweli, kama angekuwa na dhamira ya kupambana na ufisadi alikuwa na nafasi nzuri ya kukomalia kesi hizi mbili - za Lugumi na UDA. Ninashangaa sana ninaposikia Lumumba B-7 wanashangilia kuwa tumepata kiboko ya mafisadi. Kwa wanaCCM ufisadi unaanzia na kuishia kwa Lowassa - napo ni kwa sababu ilikuwa karibu awaache uchi.
 
Chadema tokea msafishe fisadi Lowasa hamna atakayewamini tena.

Kila kitu mnataka mchakato ili kuchelewesha maendeleo ya wananchi makusudi.
Mnapinga kila kitu hadi maendeleo ya wananchi!!!
Huna ujualo,kaa kimya
Njaa inakutesa
 
Hili ni tatizo kubwa la upinzani wa nchi yetu. Ufisadi upo katika nchi yetu na suala la UDA ni miongoni mwake. Ukawa hamuwezi huo mchakamchaka. Kuna vita mnapoteza muda tu. Hivi hao wananchi hayo ni kipaumbele? Ukawa ya sasa hivi si ya ufisadi. Pambaneni na immediate needs za wananchi. Ajira, njaa, gharama za maisha na Uhuru wa habari. Mengine, hamna uwezo wa kupaza sauti.
Kwa sababu mmezoea kukumbatia uchafu
 
Hii
Safiii sanaaa UKAWA kwa hili.. mm ni CCM, ila hili, madiwani wa CCM wa Dar hawako kwa maslahi ya umma, ila kwa maslahi ya mafisadi..

Hayo ndio nilitegemea toka kwa Mh. Rais afanye.. bahati mbaya sana sana, juzi kaniangusha vibaya sana sana.. UKAWA, pongezi sana, huu ndio UTAIFA, nilisema mm sio CCM wa NDIOOOOO... never ever...

UDA, sikuamini hata Mh. Rais kashindwa kulirudisha ktk mikono ya jiji hizo 51%, yaani Kisena alipe tshs. 5.8 bil apewe 51% ya JIJI..? How..? Kama maelezo ya Boniface Jacob hapo juu, HICHO NDICHO KILITAKIWA NA KILA MWANANCHI... kuwa HISA ZA JIJI ZOTE 51% ZISIUZWE, ZIRUDISHWE JIJI... NA HIZO TSH. 5.8 Bil.. apewe Simon Group, Kisena ni msukuma, hadi nikawaza kuna ukabila nn hapa..? sbb thinking is not ILLEGAL, hiki ndio kilio cha watanzania, ndiko hasa tulitaka mali ya UMMA, UDA, irudishwe mikononi mwa JIJI 51%.. sbb zile 49% bado ziko upande wa serikali... sio Kisena kulipia hisa..

Juzi Kkoo, ktk uzinduzi, sikujua vema, nilishtuka sana, kusikia Mh. Rais anasema hela hizo tsh. 5.8 bil manispaa za Dar, zinavutana kutumia, kuwa Kisena kalipa, TATIZO SIO KULIPA, TATIZO HISA ZOTE ZIRUDI JIJI 51%, wananchi hawataki UDA kuuzwa, hiyo ndio ISSUE..!! Jamanii, jamanii, nchi yangu hii..!!

UKAWA kwa hili nawapa pongezi, kwenye UKWELI DAIMA NITAPONGEZA, naomba UKAWA KWA HILI MTUTOE KIMASOMASO, mtuokoe, piganeni hadi hatua ya mwisho, ili UDA 51% ya JIJI zirudi, na hizo tshs. 5.8 bil arudishiwe Kisena.. piganeni kufa na kupona, tunaomba sana UKAWA.. kwa hili CCM mmeniangusha vibaya sana, sikutegemea hasa awamu hii, kweli ufisadi ni zaidi ujuavyo, ni kama kumuona malaika anageuka kuwa shetani..!! SIJALISHI MM NI CCM.. TAIFA KWANZA..!! TAIFA KWANZA..!! TAIFA KWANZA...!! TAIFA KWANZA..!!
ni

Napata taabu kidog, naomba kuuliza jambo moja kabla ya kuuzwa UDA ilikuwa katika hali gani wewe unaangalia Assets tu je uliangalia na Madeni ikiwepo stahili za wafanyakazi na hali ya UDA kabla ya kuuzwa?
Mtanitendea haki Kama utaleta audited Accounts za UDA kabla ya kuuzwa. Naamini hapo tutapata thamani halisi ya UDA by then.
Jambo la Pili no kwamba UDA iliisha uzwa zamani na wale waliokuwa madarakani. Hoja ya msingi hapa ni jee Taratibu zilifuatwa, kama hazikufuatwa hapo sasa tunapata muanya WA kuzuia huu uhuni lakini Kama taratibu zilifuatwa hakuna namna ya kuweza kurudisha hisa hizo. Au kunakipengele kinachoruhusu kutengua maamuzi yote yaliyofanywa na mamlaka zilizotangulia kama ndivo basi tuvunje mikataba yote iliyoingiwa na Serikali zilizopita maana hakuna mkataba wenye manufaa hata mmoja. Ni UFISADI, UFISADI UFISADI throughout.
Ukawa onyesheni njia namma ya kuvunja mkataba Uncle Magu ajifunze tuepukane na mikataba ya HOVYOHOVYO.
 
Kwa sababu mmezoea kukumbatia uchafu
Ujasiri wa ufisadi kwa sasa hivi hakuna msafi. CCM wanakazana kujisafisha, ukawa ni migogoro, ruzuku na pesa za kikao. Kwangu mie Magufuli ananikera kwenye Sera yake ya uchumi na demokrasia. Ukawa wanakera ufisadi, ubinafsi, ubaguzi na uchu wa madaraka.
 
Katika hili ndio mtajua unafiki wa watu fulani.
Hawa chadema watu wa ajabu sana,

Wanamtuma Lowasa kwenye mikutano ya kampeni akisimama anawaomba wananchi wachague wagombea wa ccm kwa kura nyingi.

Alafu baada ya matokeo bavichaa wanashangaa kwa nini wameshindwa!!!!

Shame on you
 
Back
Top Bottom