Boniface Jacob: Waambieni wanaotamani nihamie CCM,Nipo tayari kufa Nikipigania chama changu CHADEMA na Sipo tayari kuwa TAKATAKA kwa kuhamia CCM

hivi mfano wakija na kama 2bil hivi jamaa atakaza kweli?? Dah sijui kwanini yale mafuriko hayakunikumba namimi leo ningejipigia kama 1bil hivi halafu sitaki ubunge nawaachia zangu jimbo..​
Ukombozi hufanywa na wananchi wenyewe kama hawajitambui kila mkiwaamsha pigeni hela wajameni, Jacob chukua mpunga huo acha mbwembwe watanzania hawahitaji ukombozi kwa sasa kifupi maisha yao ni matamu..​
 
Jacob Mbowe Lissu wanawanyima ccm usingizi!na hawa ndiyo wapinzani wa kweli
 
Back
Top Bottom