Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Tunasubir kuona atalavyokufa akikitetea 2020 maana sioni kikiponaBambi, huyu si alisema siku Millya akihama Chadema ndio nae atahama? Vipi polepole kamkataa?
Anyway, bora abaki huko aparekebishe, asibaki mtazamaji kupiga picha jahazi linavyozama.
"WATAJIHUZURU TU"Lakini viongozi wanaosababisha haya ndani ya Chadema wapo tu.
Wanachama nao wapo tu badala ya kuwataka wajihuzuru!!!
Vipi mnataka kumtumia "wasiojulikana" wampyu pyu pyu?Mwambie achunge mdomo wake,Hajafa ajaumbika
Chunga kauli...mi namaanisha asije kwenda na akasahau aliyosemaVipi mnataka kumtumia "wasiojulikana" wampyu pyu pyu?
Kumbukeni watoto wa shule hawana madawati na wanasoma katika shule za tope.Mkipiga kelele tu tunanyakuwa mwingine
Wajihuzulu???????Kweli lumumba vilaza,ndio lugha gani hiyo?Lakini viongozi wanaosababisha haya ndani ya Chadema wapo tu.
Wanachama nao wapo tu badala ya kuwataka wajihuzuru!!!
Wanyaakuliwe wote ili turudi mfumo wa chama kimoja zuzu wewe son of bitchMkipiga kelele tu tunanyakuwa mwingine
Hujakosea kufikiri hivi kutokana mazingira ya sasa ya kisiasaTunasubir kuona atalavyokufa akikitetea 2020 maana sioni kikipona