Boni Mwaitege amefungua kanisa lake

Kuna mwingine anajiita Prophet Billionaire. Yaani wengine kwa majina yao tu yanakufanya ushituke mapema.
Nilishaawambia kuanzia watoto mpaka wajukuu nikisikia wamehamia kwa hayo makanisa ya wajasiliamali wasirudi kwangu
 
Hii inathibitisha kwamba watu wanataka kuagana na umasikini kupitia dini kama wanavyofanya "manabii" wengine au kama walivyofanya wazungu wakatajirika kupitia dini.

Yule muimbaji wa nyimbo aliyevuma zamani hivi sasa nae ni mchungaji, kafungua kanisa lake mahali fulani (Nikitaja sehemu nitasababisha watu waende huko wakaliwe pesa zao).

Acheni wizi, haya makanisa yanaibia sana watu.



Sent using Jamii Forums mobile app
Boss ulitaka ifunguliwe bar ndio ujisikie amani? Mimi naona amefanya vizuri maana huyu mtumishi wa kweli wa Mungu toka kitambo tunamjua
 
Dini ni sawa na madawa ya kulevya yaani utachagua mwenyewe ubwie kete ngapi mi nilishangazwa na ma MASANJA mkandamizaji nae eti anaangusha mieleka waumini?
 
Back
Top Bottom