Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
mabo haya yameanza lini? watoto wa kiume kuimba huku wakiwa uchi mbele ya kadamsi?
Huu ndio ushaga wenyewe na huyu jamaa naitwa AFANDE SELE
I have never been a fan of Bongo fleva and never will...lakini hii ni mpya kwangu
duh! noma tupu
Huu ndio ushaga wenyewe na huyu jamaa naitwa AFANDE SELE
I have never been a fan of Bongo fleva and never will...lakini hii ni mpya kwangu
duh! noma tupu
Last edited: