BONGO zAIDI YA UIJUVYo... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BONGO zAIDI YA UIJUVYo...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Aug 9, 2011.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Ni mji mpekee duniani ambao: Hakuna maji, hakuna ememe, hakuna mafuta, usafiri mgumu. Lakini takwimu za kiserikali zinaonesha kuwa mfumuko wa bei (inflation) unashuka.
   
 2. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  tehe tehe tehe.....
  Naona JINGA KUU ameshindwa na wafanyabiashara
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,577
  Likes Received: 845
  Trophy Points: 280
  ...najaribu kufikiri baada ya hili sakata la wamiliki wa vituo vya mafuta kugoma ni nini kinafuata
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Kitakacho fuata ni watu kutembea kwa miguu. Na wote tuseme CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
  <br />
  <br />
   
Loading...