Bongo Radio kusikika Kwenye Simu za Nokia

Geeque

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
936
500
Habari,

Kwa wale wote wapenzi wa nyimbo za nyumbani Tanzania hasa Bongo Flava, Taarab , Zilipendwa na Muziki wa Dansi wanaweza kuisikiliza Bongo Radio(http://www.bongoradio.com) LIVE kabisa kwenye simu zao za Nokia kama simu yako ina support Internet Connection. Nadhani Nokia E60 na nyingine zinazo-support streaming.
 

Binti Maringo

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
2,804
0
Nomab kutuma salama kwa mpenzi wangu wa moyo w akufa na kuzikana alafu naomba niipigie wimbo wa McMuga!...uliopigwa na Ali Kiba.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom