Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bongo olympic

Discussion in 'Jamii Photos' started by Good Guy, Aug 14, 2012.

 1. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,454
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Nawasilisha
   
 2. Komeo

  Komeo JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 2,067
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kwani tulienda? Kwa mchezo upi? Ila kama tungeenda kwa mchezo wa kurusha mikuki nina uhakika tungefanya vema.
   
 3. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,285
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Loading.............
   
 4. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Viongozi wa TOC ni full usanii, wacha watuchore tu.
   
 5. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,454
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Yeah, uongozi husika mbovu. Wanaoenda wanaenda si kwa kua wana vigezo bali wanaenda kwa rushwa na kujuana
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,474
  Likes Received: 5,621
  Trophy Points: 280
  hizi katuni tamu
   
 7. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,717
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Naunga mkono hoja, tuchukue morani 1000, wataturu 100, wamburu 100 na wamag'ati 100 huwaweke kambini, tuwape mafunzo ya kusayansi jinsi ya kutupa mkuki kwa malengo maalumu, nina imani mwaka 2016 tupata medali za javelin 1-2-3. Halafu mcheao wa Filbert Bay kuweka kambi ya wanamichezo wa olympic nyumbani kwake akome, ni ufisadi. Ningefurahi sana kama idara ya Michezo ingeunganishwa kwenye Wizara ya Magufuli, Mwakyembe au Kagasheki ili huyo Filbert Bayi na Wanamichezo na maofisa wao wa Michezo/IOC wafikie rumande, ni maoni yangu, na ninayaamini.
   
 8. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,454
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mkuu ulikua pande zipi, wabongo nao walienda(unfortunately ilikua nikutimiza wajibu 2), wa2 wenye uwezo waliachwa(eg maboxer wakali wa bongo) wakapelekana kwa kujuana na hongo matokeo yake. Boxer alikula kichapo kwa pnt 20 to 3 i thnk ndani ya rnd3 gem likaisha. Runners well mdada alikua wa 3 kutoka mwisho, mbio ndefu m1 alikua wa 33 mwingine 66. Hao ndo nnliowaona. Pics wakiwa wanaingia, nyingine JK akimuaga Bondia kwenda olympic
  [​IMG]
  [​IMG]
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,107
  Likes Received: 2,326
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 10. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,456
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  hehehehehe wametoka kutalii...tuwakaribishe waendelee na shida za hapa bongo maana walikua wameenda kusahau shida kwa mda mchache(wakiwa wanatalii hukoo olympic)...hii ndo bongo bwana hujui mtu hupati kitu!!!!!! kiranja wa nchi mtalii wanafunzi wataacha kua watalii?? nani kasema???....karibun watalii!!!!!....
   
 11. m

  markj JF-Expert Member

  #11
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,485
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  dah! ningekuweko huko haka katoto ka kwanza kushoto, ningepiga tu, kazuri ako
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,107
  Likes Received: 2,326
  Trophy Points: 280
  Huyo mama unamjua ni nani?
   
 13. m

  markj JF-Expert Member

  #13
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,485
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  si mjui, embu nijuze, mi napiga tu sichagui bana
   
 14. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,848
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Waacheni bwana watoto wa JK wanafata nyao ya kuuza sura
   
 15. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #15
  Aug 14, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,388
  Likes Received: 3,561
  Trophy Points: 280
  wametimiza maandiko.utavuna uichopanda
   
 16. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #16
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  watalii kama bwana dhaifu
   
 17. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #17
  Aug 14, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 45,903
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 180
  Idadi ya viongozi ilikuwa ni kubwa kuliko hata wanamichezo
   
 18. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #18
  Aug 14, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 14,364
  Likes Received: 3,212
  Trophy Points: 280
  ila si michezo ya wazungu hio? Wametengeneza wazungu sie tunafata tu ndo mana angalia medali nyingi zimeenda kwao.
  -Kwa wanaoangalia jumong wanamkumbuka na mishale yake same medali za dhahabu za kupiga mishale zimeenda korea (kwa kipofu)
  -basket, riadha medali nyingi marekan na mpira wa wanawake
  - mabingwa wa dunia wa boxer klitschiko brothers wa ukraine same dhahabu imeenda ukraine ya boxer.

  Ukichunguza kila nchi yenye kipaji flan imezoa medal zake.

  Sisi tanzania tunapenda michezo ya dizain hii KOMBOLELA, MAKIDAMAKIDA, READY(REDE), KURUKA KAMBA, KUPANDA MITI NA VIFANANIAVYO.

  Imagine kuwe na mashindano ya kupanda minazi hata shaba tusingekosa kwa wale wanaogema pombe ya mnazi.
   
 19. B

  Bumela Senior Member

  #19
  Aug 14, 2012
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Ni sawa, mi najua hakuna mchezo tunaouweza zaidi ya kuongea,tuwaombe olympic waanzishe mashindano ya kuongea nadhani huo tutanyakua medali ya dhahabu.
   
 20. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,454
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  heheheh na wa kuuza sura kama Big Bro wabongo wanatisha huko
   
Loading...