Bongo movies...

sema tumezid kuiga shine!

Pamoja na kuiga nako kunasaidia kujifunza ila wasanii wenyewe kwa wenyewe hawapendani na wanapigana vita, je huo ushirikiano wa kuikuza bongo muvi utatoka wapi zaidi ya kulalia na kuamkia majungu?
 
Pamoja na kuiga nako kunasaidia kujifunza ila wasanii wenyewe kwa wenyewe hawapendani na wanapigana vita, je huo ushirikiano wa kuikuza bongo muvi utatoka wapi zaidi ya kulalia na kuamkia majungu?
wasanii wanatumia njia isiyo sahihi kupata mafanikio,kwani ukionesha ubunifu mkubwa kwny kazi zako huwez kuwa juu?hadi uchukie maendeleo ya wengine??...aaaah ntarudi banah wakijitambua,ngoja niendelee kuchek Hotel Rwanda hapa!
 
ndani wanacheza sini ya mchana wakifungua mlango kutoka nje unaona giza.....

nyumba wanakaa watu 2 wakiwa chumbani wanaongea unaona mkono au mguu wa mtu wa 3 amabye ni msika mic
 
Wachawi wanacheka kila baada ya sentesi ha ha ha ha..

Kweli inakera..Niliacha kuangalia kitambo sana..
 
Nimeangalia nyingine hapa..'mshenga' kwenye subtitle anaitwa 'matchmaking'.
 
Kiukweli wenzetu muvie zao ni nzuri sio kua ni bahati, ni kua wanawekeza muda na hela vya kutosha.
lakini pia vitu vingine wala sio hela, ma director nao wanazingua sana, et mfano mwananume anaenda kufunga ndoa
kanisani akiwa amevaa hereni!! serious kweli kimafafrika?kitanzania?? maana muvie inatakiwa ifanane na ukweli, hata kama mtu ni sharo kias gan hereni atava kwanza akitoka chach atavaa mahereni yake..............
 
Sasa script writer, location manager, production manager, main actor, na director ni mtu huyo huyo. Mmh!!
 
Msisahau matangazo jamani, movie inamatangazo dk45 nzima!!!!!!:shocked::shocked::shocked:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom