Maajabu ya bongo movie..

Exorcist

JF-Expert Member
Feb 28, 2014
1,236
1,257
Inakadiriwa kwamba kiasi cha shillingi bilioni 12 hutumiwa kila mwezi na wa-Tanzania wa kipato cha kati na cha juu kwa ajili ya kuangalia imported movies kutoka Hollywood katika cinama halls mbalimbali hapa jijini. Hii inasikitisha kwa kiwango flani kwani pesa hizi zote zinakwenda nje ili hali tuna Movies (Bongo movies) za hapa ndani ambazo zinazidi kupanda ubora siku hadi siku, hivyo ingefaa sana movie hizi nazo zingeonyeshwa kwenye Cineama halls muone jinsi watu watakavyofurika na madem zao kuziangalia.., hii ingeinua sana uchumi wa industry yetu na uchumi wetu kwa ujumla. Nawasilisha.
 
Sawa, lakina na ubora wake je, unakidhi? Ubora = maudhui, sanaa iliyotumika, mantiki, mvuto, burudani, nk.
 
Sawa, lakini na ubora wake je, unakidhi? Ubora = maudhui, sanaa iliyotumika, mantiki, mvuto, burudani, nk.
 
hizo takwimu za Bil. 12 umezipata wapi?
hakuna mtu mwenye akili timamu ataenda kuangalia Bongo Movie after all watazamaji wakubwa ni ma house girl
 
Mkuu quality haijalishi uzalendo..., kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza.., Hivi unajua hadi hao watu kufulika ni pesa ngapi na ujuzi kiasi gani umetumika katika production na promotion ya movie husika.

Na sio kweli movie zote kutoka nje zinajaza watu, ni zile big hitters (either kutokana na movie kuwa inasubiliwa kwa hamu, au actors wake ni machachari n.k.)

By the way taomba uniambie hizo takwimu umezitoa wapi mkuu, vilevile hivi zaidi ya Arusha na Dar kuna sehemu nyingine yoyote yenye Cinema Halls Tanzania ? Tuanzie hapo alafu uniambie hizo Bilioni 12 umezipata wapi.

Au hata zile kumbi za uchochoroni unaziweka kwenye hii hesabu ? (na kama jibu ni ndio, hapo hakuna importation yoyote ya pesa ni piracy moja kwa moja na wizi wa kazi husika za watu) na
 
Sawa, lakini na ubora wake je, unakidhi? Ubora = maudhui, sanaa iliyotumika, mantiki, mvuto, burudani, nk.

DSC01089.JPG
11341-5.jpg
 
Mkuu Exorcist! Kwa sasa bongo muvi bado sana, tena sana! Yani mtu umekaa unaangalia muvi hata bado haujaielewa vizuri hata kisa (theme) yenyewe unashangaa miandishi inatokea inasema WATCH OUT FOR PART 2.!!??? Yani huwa inaboa sana, afu huwa najiuliza sana kwani kila muvi ya bongo lazima iwe na part 2?????
 
Nitawajibu nyie woote kwa wakati mmoja tena kwa kifupi sana. NI HIVII, Ubora wa movie ni directly proportional na kiwango cha pesa kinachowekezwa.., hilo halina ubishi wala halipingiki. Hivyo basi.., tukiweza kuonyesha bongo movies kwenye cinema halls hapa kwetu maana yake tutainua uchumi wa watengenezaji hizi filamu na consequently wataweza kutengeneza movie zenye ubora zaidi.., nasi tutaendelea kuziangalia zaidi na this cycle of improvement itaendelea mpaka tutakuwa na the best movies in Africa. Kwa sasa hivi tuko kwenye vicious cycle of poor earnings->-< poor quality over and over. Kwa sasa tujikaze kizalendo na tukaziangalie kwenye cinema halls hivyo hivyo na ubovu wake. lets hold hands and break this vicious cycle. Nawasilisha tena.
 
hapo kwenye bilioni 12 naomba ufafanuzi, halafu nadhani tatizo hapa ni kubwa, kwa sababu hata nigeria ambayo iko mbele sana bado movie zake nyingi hazionyeshwi kwenye cines.
 
Tatizo wateja wa bongo movie ni house girls ambao wao wanapenda kuona mwanamke mrembo kama wema na mkaka handsome aliyejipaka easy black kichwana na kavaa suti ya kuwakawaka,wakiwa wanaishi kwenye ghorofa na kuendesha Range rover.Hivyo target yao ni kuonyesha mapenzi na maisha bora ambayo intended audience inayatamani,hawafikirii utunzi mzuri wa stori na script na kujenga uhalisia kwa kuumiza vichwa na kuwekeza kwenye teknolojia.
 
hapo kwenye bilioni 12 naomba ufafanuzi, halafu nadhani tatizo hapa ni kubwa, kwa sababu hata nigeria ambayo iko mbele sana bado movie zake nyingi hazionyeshwi kwenye cines.

Bilion 12 inajumuisha gharama za mafuta ya kwenda cinema hall, gharama za juice na popcorn za bei mbaya, gharama ya tiketi pamoja ma muda unaotumia (time=money) kujifunza tamaduni za watu wa nje.
 
Well said,bravo.
Tatizo wateja wa bongo movie ni house girls ambao wao wanapenda kuona mwanamke mrembo kama wema na mkaka handsome aliyejipaka easy black kichwana na kavaa suti ya kuwakawaka,wakiwa wanaishi kwenye ghorofa na kuendesha Range rover.Hivyo target yao ni kuonyesha mapenzi na maisha bora ambayo intended audience inayatamani,hawafikirii utunzi mzuri wa stori na script na kujenga uhalisia kwa kuumiza vichwa na kuwekeza kwenye teknolojia.
 
hizo takwimu za Bil. 12 umezipata wapi?
hakuna mtu mwenye akili timamu ataenda kuangalia Bongo Movie after all watazamaji wakubwa ni ma house girl

Mkuu ni kweli pia kundi lingine la watazamaji ni akina mama wa nyumbani( wanawake wanaokaa nyumbani wasio na formal employment)
 
Back
Top Bottom