Bongo movie Mungu anawaona sio kwa comedy hizi

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
Jini anaongea na simu

8ca1e37a8b49ebfe31b50bd3335a0be6.jpg

1ae954dbea8d786eef9fabc58e3b4e73.jpg
 
Ukiangalia subtitle zao ni tofauti na kinachosemwa,,mimi kidogo naona ray yupo vizuri,kuna movie yake moja niliiona kwa bahati mbaya,,,ila kusema ukweli kinachowaua bongo movie ni hawa ma up comings wanaboa sanaa,bora kingewekwa kiwango cha chini cha kutengenezea movie mfano m60 ili vitu vieleweke,ukakuta movie wameshootia na camera ya tecno p5
 
Hahahahha mothrfkr tecno p5 hahahha tz jf bhn
 
Ukiangalia subtitle zao ni tofauti na kinachosemwa,,mimi kidogo naona ray yupo vizuri,kuna movie yake moja niliiona kwa bahati mbaya,,,ila kusema ukweli kinachowaua bongo movie ni hawa ma up comings wanaboa sanaa,bora kingewekwa kiwango cha chini cha kutengenezea movie mfano m60 ili vitu vieleweke,ukakuta movie wameshootia na camera ya tecno p5
Budget na kamera ya tecno haviwezi kuwa shida... Kama watatumia muda kufanya kazi kwa kuzingatia ubora na kuacha kutufanya sisi ni watu wa zama za mawe.

Wanatutusi na storylines zao. Ni kama mpoto anaposema jambo la kitoto kuambiwa mkubwa. Quality sio issue issue ni story na presentation.
 
Kuna sinema moja niliiona kwenye Basi, MTU alifanyalo transplantation ya moyo. Mtoto wa miaka5 akawekewa moyo wa Mzee wa miaka 60 Mzee mwenyewe alikufa kwa kujipiga risasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom