Bongo Fleva ya zamani tulikuwa tunapewa story.. siku hizi tunapewa nini?

Nimeajiiwa kwenye ajira niliojiajiri,
Nasiwa utendaji wangu kazi ni mzuri,
Navumilia Wenda ntapata kivuli,
Ntapata kivuli inshakata miaka miwili,
Ndimu na ugali maisha makali elimu iko mbali,
Lile jasho la halali mpaka kabali,boss katili,
Naghairi,mnameza mate ya akili,
Mbona sina kiburi nina lumba na jua Kali,
Asubuhi alasiri na adhuhuri,
Mwendo wa kuunga kandambili,ndio yangu staili,
Jero nauli baki mia mbili,kazi na ugali,
Si ubahili Mama sina pesa kweli,
Mara dalali Mara tapeli sina habari,
MIE SINA ZALI,SISAKI MALI NASAKA UGALI,

ukiaangaliaaaa inaumaaaa ooohhh
Ukifikiriaa inachomaaa eeehh
Inaumaaaa ...inachomaaa

#20%
 
Tumevuka mabonde na milima/
Vikwazo vingi tulisimama wima/
Walishazusha vingi vioja/
Asali wangu wa moyo tupo pamoja/
Penzi letu likumbwa na vikwazo sana/
Sisi tulivumilia hatuachana/
Walikuambia kila siku nabadilisha wasichana/
Uliwapuuza hukujari yao dhana/
Hao wazushi hao
Hao wazushi hao
(Asali wa moyo part 2 )

Kahena Haruna aka inspekta haroun aka babu katika ubora wake.

Sina muda wa kukariri bongo flavor za sasa ni headache tu....
Come on
Afande selle
Jaymo
Imamu abbas
Nature
Dojo na domo kaya
Solo Thang Mteule
Wagosi
Squeezer
University corner
Waswahili wazee wa pengo
Sister p
Kali popote kali p
Zay b
Gk
Luteni karama
Daz nundaz
Mchizi mox
Jafarai
O ten
Hardmad Kidume Mkushi
Mpo wengi sitaki kuamini tatizo ni airtime mlitamba kipindi redio na tv zipo chache sana hata mitandao ya kijamii haikuepo..
Mungu awatie nguvu
 
Yule afande mwenzangu wakamuuliza,
Umekuja peke yako au umekuja na mukaka wako,
Na wale wafungwa wengine wakawa wanashangilia mwali mwali mwali,
.....................................
Sijui nirudi chijijini,
Mimi sio polisi tena,

(Nimesahau mistari ya yule jamaa)
Hahaa we jamaa umenikumbusha mbali. yule msanii kichaa sana. Nimejikuta namkumbuka na msanii mmoja anaitwa Pig Black alikuwa na ngoma moja hatari sana.
 
Yule afande mwenzangu wakamuuliza,
Umekuja peke yako au umekuja na mukaka wako,
Na wale wafungwa wengine wakawa wanashangilia mwali mwali mwali,
.....................................
Sijui nirudi chijijini,
Mimi sio polisi tena,

(Nimesahau mistari ya yule jamaa)
"Kuanzia Leo Mimi sio Polisi tena"

Kali -P.
Aiseeee burudani ilikuwa ya kutosha.!
 
Athuman-solid ground
jerry -solid ground
Baba jeni-solid ground

Jerry chorus
Kichaaa kimepanda(jerry)
baada ya kuvuta mineli..
wengi walidhani kalogwa na jirani...
kumbe mibange imempanda kichwani...

Baba jeni chorus
Baba jeni alipopata mafao
tabia tabia ikabadilika
na Sasa yamekumkuta
anabaki anajuta..


muziki wa Zamani mtamu sanaaa
Kwenye makundi ambayo niliwahi kuyakubali ni hawa solid ground family.
Kuna ile mechi Kali timu ya kifo na timu ya uhai.
 
Daah umenikumbusha mbali


Ndio mzee - Prof jay

Kikao cha dharula - Prof Jay

Nang'atuka Prof Jay

Si uliniambia - Mb Dog

Latifa - Mb Dog

Mapenzi kitu gani? - Mb Dog

Radhia - Doro ft sir. Nature

Zali la mentali - Prof. Jay

Sitaki demu - Sir. Nature

Inaniuma sana - Sir. Nature

Natamani - Q jay

Sifai - Q jay
Chemsha bongo- Prof Jizoo
Niko mikononi mwa Polisi- Mr II
Mambo ya pwani-Solo Thang
Nakuhitaji
 
Siku hizi ukitaka Story Telling Rap msikilize Songa....kwa miaka ya karibuni jamaa Amekuja kushika nafasi ya wakongwe kwenye hili.

-Usiku
-Beki tatu
-Beef
-Ninapotoka
-Ndege
-Sorry
-Kikosi cha mizinga.

Sikiliza hizi at least utapata utamu ule wa enzi zile....Kwangu jamaa ni Best Story Teller Rapper kwa kizazi chase.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom