kidaganda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2013
- 2,991
- 2,564
Nimeajiiwa kwenye ajira niliojiajiri,
Nasiwa utendaji wangu kazi ni mzuri,
Navumilia Wenda ntapata kivuli,
Ntapata kivuli inshakata miaka miwili,
Ndimu na ugali maisha makali elimu iko mbali,
Lile jasho la halali mpaka kabali,boss katili,
Naghairi,mnameza mate ya akili,
Mbona sina kiburi nina lumba na jua Kali,
Asubuhi alasiri na adhuhuri,
Mwendo wa kuunga kandambili,ndio yangu staili,
Jero nauli baki mia mbili,kazi na ugali,
Si ubahili Mama sina pesa kweli,
Mara dalali Mara tapeli sina habari,
MIE SINA ZALI,SISAKI MALI NASAKA UGALI,
ukiaangaliaaaa inaumaaaa ooohhh
Ukifikiriaa inachomaaa eeehh
Inaumaaaa ...inachomaaa
#20%