Bongo Flava za kumwaga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bongo Flava za kumwaga

Discussion in 'Entertainment' started by good god, Oct 13, 2008.

 1. g

  good god New Member

  #1
  Oct 13, 2008
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama unahitaji bongo flava mpya na zile za nyuma,, hapa ndio mahala pake,, nipe jina la songi tu na utaupata ndani ya dakika 5(( ni bure kabisa silipishi hata buku)):eek:
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Una mkataba nao hao wanamuziki wa kugawa singles zao for free au ?
   
 3. g

  good god New Member

  #3
  Oct 13, 2008
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkataba ndio nini? bongo kuna habari za mikataba? nenda ukamuulize mamu kama ana mikataba ya kugonga kopi bila ruhusa za wasaniii,,
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mwasiti feat Chid Benz
   
 5. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Nolilaga - J4
   
 6. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2008
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  QUOTE=good god
  mkataba ndio nini? bongo kuna habari za mikataba? nenda ukamuulize mamu kama ana mikataba ya kugonga kopi bila ruhusa za wasaniii,,
  Today 10:20 AM

  Kaka naona umeamua kubadilisha user name yako...vipi ni kuhofia maswala ya copyright au ni kuogopa kivuli chako mwenyewe.

  Sasa tukuambie karibu JF au tukuambie rudi kwenye user name yako tuliyoizoea.

  Kazi ipo.
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Oct 13, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Nashukuru,

  Nimeshakufahamu.
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  Oct 13, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Angalia usi attach spyware katika hizo attachment manake kazi ipo siku hizi maofisini
   
 9. Kaka Mkubwa

  Kaka Mkubwa Senior Member

  #9
  Oct 15, 2008
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  dunia mapito - bushoke
   
 10. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2008
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  vipi mbona kimya bwana................

  or what is 5minutes in your local language?..
   
 11. K

  Kenge (Eng) JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2008
  Joined: Dec 7, 2006
  Messages: 502
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Weee, koma, siku ya wajinga ni mara moja kwa mwaka.
  Umeona pa kutuokotea.
   
 12. m

  mzumari New Member

  #12
  Oct 21, 2008
  Joined: Mar 11, 2007
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipatie bongo flava hizi
  1. Mi Mmasai 2. Nakupenda Bibi Kizee 3. Majukumu 4. Ameniona mimi (Q chief) 5.Pombe (Mduara)
   
Loading...