Bongo Flava Battle: Rayvanny vs Marioo

Wanaosema rayvanny anaimba kwaya, kwan marioo naye kuimba anaona nn?
Marioo mwenyewe kakomaa na nyimbo za vilio, c aanzishe kikundi cha kufa na kuzikana wawe wanamwalika misibani?
Marioo anaimba nyimbo za vilio??

Unazijua;

✓Anyinya

✓Wow

✓Mama Amina

✓Beer Tamu

✓Tikisa

✓Wauwe

Acha utani wewe.
 
Marioo anaimba nyimbo za vilio??

Unazijua;

✓Anyinya

✓Wow

✓Mama Amina

✓Beer Tamu

✓Tikisa

✓Wauwe

Acha utani wewe.
We jamaa acha chuki dhiki ya Vann.

Ukweli upo wazi kiongozi, muziki ni kazi na muziki ni biashara. Ikiwa biashara yako haitoki ujue haikubaliki. Huu ni wakati wa Marioo kujifunza kutoka kwa wenzake wanaofanya vizuri.

Vann anafanya vizuri sana tena sana. No matter anaimba kwaya, ngonjera, taarabu au whatever. Kikubwa mapokeo ya kazi zake yanakuwa kwa kiwango gani.

Mashabiki tunapenda muziki mzuri na wenye ladha tofauti tofauti. Hizo mnazoita kwaya za rayvann ndio mashabiki wanapenda.

Mshaurini Marioo kuwa, anapotaka kutoa wimbo awe na target ya soko husika. Kumbuka, kuna matabaka ya aina tatu wanaosikiliza muziki. Kuna watoto, vijana na wazee. Anatakiwa atoe wimbo ukubalike kikweli kweli.

Enzi za mtaalam Mr. Nice kwa tuliobahatika kumsikiliza nyimbo zake, jamaa alipendwa sana na watoto na alifanya shows nyingi sana East Africa. Sikumbuki kama kuna msanii alimfikia jamaa kwa shows za East Africa kwa hapa bongo. Ukija kwa Vann, nyimbo zake zinapendwa na vijana, mabinti pamoja, watoto pamoja na wazee. Vann hajulikani kwa jina hasa kwa watoto lakini nyimbo zake wanaimba sana tena sana.

Sasa tuje kwa Marioo. Hebu tuelezee mkuu yeye ametarget zaidi kundi gani?
 
Ukiwapambanisha kiushabiki kila mtu atachagua kwa ushabiki wake bt ukiwapambanisha kiuhalisia number zitawatenga kama mbingu na ardhi, burna boy hakupambanishwa na akina davido kwa sababu anajua kuimba bali number ndo zilimweka anga za akina davido na wizkid.

Kibongo bongo si ajabu kusikia ally na harmo wanapambanishwa na mond bt ikija battle ya africa harmo na kiba huwaoni utasikia mond pekee ndo anapambanishwa na kina davido, burna boy na wizkid coz number na level zao zinakaribiana/zinalingana.

Kiushabiki si vibaya kuwapambanisha ajili ya kuwatia hamasa bt hili haliondoi uhalisia wa nani ni mkubwa kwa mujibu wa takwimu.
 
Kwenye playlist yangu nina nyimbo kama 18 za rayvvan ila sina wimbo hata mmoja wa marioo, SIJAJUA MPAKA SASA MKALI NI NANI!!!
 
Marioo anaimba nyimbo za vilio??

Unazijua;

✓Anyinya

✓Wow

✓Mama Amina

✓Beer Tamu

✓Tikisa

✓Wauwe

Acha utani wewe.
Kwahiyo rayvanny ni kwaya tu? Hizi je?

Tetema
Kelebe
Chombo
Makurusa
Mwanza
Zipo
Chuchumaa

Ukweli utabaki palepale... Marioo ana safari ndefu sana na ana vingi vya kujifunza ili amfikie mbosso kwanza kabla ya vanny boy
 
Toka atoe ile nyimbo inaitwa shikwambi dogo sijawahi kumuelewa tena mpaka leo.....
 
Diamond anaingiaje hapa?
Rayvanny ni msanii wa kawaida kuliko marioo huo ndio ukweli,
Tusubiri muda upi huo marioo ana mwaka wa ngapi anafanya muziki na tena hana management inayoeleweka anajisimamia mwenyewe tofauti na huyo mwengine anafanyiwa kila kitu na kina sallam.. Na bado kila siku anatoa maboko.

Utawaaminisha chawa wenzio tu sisi tunaojua muziki tunaona marioo ni bora na wala hawezi akapotea tayari ni msanii mkubwa, mlisema harmonize hatomaliza mwaka, kiko wapi?
Eti sisi tunaojua mziki, kitendo cha kufahamu kuwa watu wana different tests tu kinaonyesha hakuna ujuacho zaidi ya ushabiki.
Aliyekwambia Marioo hana strong management ni nani? Au kwa kuwa hauwafahamu? Mtu aki'support usicho support wewe ndiyo anakuwa chawa? Grow up. Hao madogo wote zaidi ya muziki wao sitegemei kuja kuwafahamu personally ndiyo maana inatakiwa uje na arguments zenye facts na si blah blah za ushabiki mandazi.
 
Kumwita Marioo underground ni kuonyesha kiasi gani wewe ni wcb lialia..

Sasa na sisi tunasema Rayvanny na zile kwaya zake hamfikii huyo underground Marioo kwa muziki mzuri.
Sina ushabiki na label bali ninafurahia nyimbo nzuri, kwa mtizamo wangu bado ni underground hivyo let's agree to disagree on the matter.
 
Kwahiyo rayvanny ni kwaya tu? Hizi je?

Tetema
Kelebe
Chombo
Makurusa
Mwanza
Zipo
Chuchumaa

Ukweli utabaki palepale... Marioo ana safari ndefu sana na ana vingi vya kujifunza ili amfikie mbosso kwanza kabla ya vanny boy
Hizo siyo nyimbo ni kelele zinazoumiza masikio
 
Eti sisi tunaojua mziki, kitendo cha kufahamu kuwa watu wana different tests tu kinaonyesha hakuna ujuacho zaidi ya ushabiki.
Aliyekwambia Marioo hana strong management ni nani? Au kwa kuwa hauwafahamu? Mtu aki'support usicho support wewe ndiyo anakuwa chawa? Grow up. Hao madogo wote zaidi ya muziki wao sitegemei kuja kuwafahamu personally ndiyo maana inatakiwa uje na arguments zenye facts na si blah blah za ushabiki mandazi.
Wewe ndiyo unapaswa ukue kila mtu anakwambia unampinga,
Unaamini muziki upo wcb tu, nini kama sio uchawa?
Ndio sisi ndio tunajua muziki na ndio maana tunaonja different test sio wewe umekazana na muziki wa aina moja.

Ulianza kusema ni underground halafu Now unadai ana strong management..!

Huna cha kubishana na mimi take your time Mr
 
Usinilishe maneno, wapi nimeandika mziki uko WCB tu, huwezi kumlazimisha mtu apende kitu ambacho si test yake.
Ukiona mtu ku support usichokikubali ni uchawa basi na wewe ku support unachokipenda na ukunguni to balance that stupid equation.
Probably uwezo wa kuelewa ninachokiandika hauna ndiyo maana hata swali unaliona kama ni proven statement.
All in all don't take these arguments personal, ni issues ambazo hazileti mkate mezani labda kwa walio kwenye music industry.
 
Back
Top Bottom