Bongo bhana ukiwa Tajiri au una Maendeleo basi Kila mtu atakuonea wivu na kukuchukia juu

Hakuna anayependa maendeleo ya mtu mwingine isipokuwa ni kupenda maendeleo yake tu.

Utaanzaje kuyapenda maendeleo ya mtu mwingine yasiyokusaidia?

Labda ulitaka kuwasema watu wenye 'vijicho' kwa mafanikio ya wengine lakini siyo kupenda maendeleo ya mtu.
 
Well said

Wajanja huwa wana"stick" na maisha yao hakuna kumuamini masikini maana siku ya kuanguka masikini ndio anafunua moyo wake kwa kufurahia anguko wakati ukwasi ukiwepo kila mtu analazimisha urafiki
 
Huo ni Uchawi na roho mbaya
 
Well said

Wajanja huwa wana"stick" na maisha yao hakuna kumuamini masikini maana siku ya kuanguka masikini ndio anafunua moyo wake kwa kufurahia anguko wakati ukwasi ukiwepo kila mtu analazimisha urafiki

Exactly bro
 
Naona leo ndo umepata bando
Mi nimo humu kila sikU,
Utakua mgeni labda
IMG_20210917_152322.jpg
 
Kuna mtawala alichukia sana Matajiri,na kweli tulifulia sana wakati wake kabla haja Sobwa na kimbunga Covid ..
 
Bongo ukiongea English tu wanakuchukia unaoekana unaringa,ukiwa tajiri si ndio balaa
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom