BONGE LA SOMO LISIKUPITE TAFADHALI TENA KWA AFYA YAKO


Seif Seyee

Seif Seyee

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Messages
471
Likes
132
Points
60
Seif Seyee

Seif Seyee

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2012
471 132 60
NI NDEFU ILA SOMA KWA MANUFAA NA FAIDA YA AFYA YAKO

Bila shaka,tangawizi na asali ni viungo mojawapo ya vyakula ambavyo unaweza kuvitumia ina mkusanyiko mwingi sana wa virutubisho ambavyo vinaweza kutumika katika kutibu idadi kubwa sana ya magonjwa,inaweza kutumika kama kionjo cha chakula au kutumika kwenye chai.

Mzizi huu ukiuchanganya na asali mbichi ninayouza mimi ina matumizi mengi sana,inaweza kutumika kukinga dhidi ya kansa,pia inaweza kuharibu seri kansa za uzazi kwa wanawake.

Zaidi ya yote asali mbichi na original ninayouza mimi na tangawizi inaweza kukusaidia kupoteza uzito mwa mwili kama una unene uliopitiliza kwa sababu huwa unaenda kuunguza vyakula vilivyo ganda mwilini,pia husaidia kuchochea umeng'enyaji wa vyakula mwilini.Pia inaweza kusaidi kuchoma mafuta yaliyo salia mwilini

Zaidi ya yote asali mbichi ninayouza mimi na tangawizi inaweza kusaidia kuongeza kumbukumbu pamoja na kurekebisha tishu za ubongo zilizokufa,hata kama uwe ubongo wa aina gani mzizi huu na asali hii itautibu tu kwa uwezo ulio nao.

Lazima utasikia faida zake mchana,kama ukianza kutumia kinywaji hiki asubuhi,tumia kinywaji hiki bila kutegemea madhara yoyote kabisa kwa maisha yako.

Zaid ya yote asali mbichi ninayouza mimi na tangawizi husaidia kukontroll kiwango cha sukari katika mwili wako,kitu ambacho kitasaida kukontroll uzito wako pamoja na kiasi cha nguvu zako za mwilini,pia asali mbichi ninayoza mimi na tangawizi imegundulika katika kusaidia kunyonya baadhi ya virutubisho muhimu mwilini

Tangawizi na asali mbichi nayouza mimi pia huongeza kinga za mwili,so inakinga kwa kiasi kikubwa sana mafua pamoja na magonjwa mengine,inaongeza mzunguko wa damu kuwa mzuri na hii pia kusaidia uume wako kujaa damu na kuwa katika hali nzuri ya kufanya mapenzi na mpenzi wako bila kuchoka,na kwa muda mrefu zaidi pia inaweza kutumika kwa jinsia zote za kike na za kiume kwa matumizi kama hayo ya kimahaba.

Mzizi huu na asali hii mbichi pia inaweza kurekebisha misuri iliyosinyaa,so kwa hali hii watu wanakuwa na nguvu sana,unaweza kuepuka magonjwa ya moyo kwa kutumia asali mbichi nayouza mimi na mizizi kwa sababu ina tabia ya kuchoma mafuta yanasalia mwilini kuwa na kazi yoyote

Anza kutumia tangawizi na asali mbichi nayouza mimi ili kukwepa tumbo kujaa gesi,kunywa kikombe cha tangawizi kilichochanganywa na asali nayouza mimi kabla ya kwenda kulala na itafanya kazi ukiwa umelala.Itasafisha mfumo wa umeng'enyaji na itaondoa matatizo kwa ndani ya tumbo lako ukiwa umelala

Kwa kuhitimisha sasa,kuna faida nyingi sana za kutumia tangawizi na asali mbichi nayouza mimi kwa sababu inarudisha afya yako katika hali ya awali,na kuzuia aina zote za ugonjwa,kwa hiyo mwambie mpenzi wako,dada yako mama yako au hata mwenyewe ujiandalie kinywaji hiki kwa ajili ya kurekebisha afya yako

hakikisha kwamba unakitumia kinywaji hiki kikiwa fresh usichanganye na kitu kingine chochote zaidi ya tangawizi na asali mbichi nayouza mimi kwa matokeo mazuri zaidi

ASALI MBICHI NAYOUZA MIMI....

NYUKI WAKUBWA............15,000/=
NYUKI WADOGO...............30,000/=


NITAKULETEA POPOTE ULIPO DAR ES SALAAM YAANI MPAKA MLANGONI.

NB: utaona bei ni kubwa lakini ni asali ambayo ipo special kwa ajili ya dawa ni original haijachakachuliwa naifata kwa mkulima mimi mwenyewe.

CONTACT.... 0689 55 44 38/ 0712 58 31 57
13418828_1002468236468354_1837577911688770452_n-jpg.362456
tangawizi-jpg.362457
 
N

Ngonidema

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Messages
2,362
Likes
1,575
Points
280
N

Ngonidema

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2015
2,362 1,575 280
Thnx kwa somo lako mkuu!
 
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Messages
26,817
Likes
14,355
Points
280
Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2010
26,817 14,355 280
Da ahsante
 
araway

araway

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2007
Messages
516
Likes
62
Points
45
araway

araway

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2007
516 62 45
Embu niambie kwanini nikilamba asali tumbo linaniuma Na huku naambiwa asali nitiba ya mambo mengi?
 
Pierreeppah

Pierreeppah

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Messages
1,487
Likes
1,668
Points
280
Pierreeppah

Pierreeppah

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2014
1,487 1,668 280
We unaumwa na tumbo ukilamba asali upande wangu nashindwa kabisa kulamba ninakula km chakula najikuta nimemaliza Nusu lita maramoja
 
Seif Seyee

Seif Seyee

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Messages
471
Likes
132
Points
60
Seif Seyee

Seif Seyee

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2012
471 132 60
Asali nyingi zinachanganywa na vitu mbalimbali badala ya kuwa dawa inakuwa sumu mwili jaribu kutumia asali ya nyuki wadogo itakusaidia sana kwani ni tiba kubwa na maradufu ya nyuki wakubwa maana inamchanganyiko wa virutubisho vingi sana. Mimi ninayo na ni original kabisa bila shaka yeyote
 

Forum statistics

Threads 1,237,558
Members 475,562
Posts 29,293,381