Bondia wa kike nchini kuzipiga na 'msauzi'


MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
39,988
Likes
5,381
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
39,988 5,381 280
BONDIA wa kike katika mchezo wa mateke na ngumi ‘kick boxing’ aitwaye Upendo Njau, leo ametua katika ofisi za Global Publishers & General Enterprises Limited na kusema kuwa hivi karibuni anatarajia kupambana na bondia wa kike kutoka nchini Afrika Kusini aitwaye, Sarah Scott. Pambano hilo litafanyika tarehe 6 Machi mwaka huu katika Ukumbi wa DDC Magomeni-Kondoa ambalo litakuwa chini ya Tan Academy of Mixed Fights & Thai Boxing, kampuni ya Japhet Kaseba, bingwa wa ‘kick boxing’ nchini.


Upendo Njau akitoa ‘demo’ ya kurusha teke kuonyesha uwezo wake katika mchezo huo wa ‘kick boxing’.


Upendo akipozi kwenye kamera ya Global muda mfupi baada ya kutoka ndani ya ofisi za Global Publishers Ltd wachapishaji wa magezeti ya Uwazi, Risasi, Championi, Amani, Ijumaa na Ijumaa Wikienda.

http://www.globalpublisherstz.com/
 

Forum statistics

Threads 1,250,869
Members 481,514
Posts 29,748,909